Mlikuwa katika mahusiano na hamkuwahi kukubaliana kuzaa mtoto, bahati mbaya au mzuri mkatiana mimba mtoto akazaliwa,
Je, huyo mama wa mtoto ana haki yoyote ya kumchukulia hatua baba wa mtoto endapo hatakuwa anatoa huduma kwa mwanaye?
Kumbuka, hawakuwa na makubaliano ya kuzaa, mama mtoto alikuwa anamchuna jamaa na jamaa alikuwa anamtumia mama mtoto kama kipezeo.
Sawa mkuu, lakini hatukukubaliana kuzaa tulikuwa tunajistaheresha tuLea huyo mtoto acha janja janja!kinachofanya mtoto azaliwe ni sex ndoa ni maigizo tu kama ya kaole
nita(faa) mkuuWewe condom ulikuwa uzijui?????
Ni mwanao hudumia ili badae uwe na akili ya kufaa condom
HainogiKwa nini hamkutumia condom?
Mimi Kuna mdada namfahamu alpaca mimba , Jamaa aliyetembea nae ni muajiriwa serikalini.apelekwe ustawi wa jamii asilete ubwege,ni lazima awajibike tu sio kuleta mambo ya nililipia huduma.