instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,381
- 14,186
Ina maana MUHAS wanaokutibu,na Ardhi university wanakujengea nyumba hawana kitu?UDSM, wengine hamna kitu
Anyway labda Kwa kuwa yalikuwa matawi ya udsm Zamani
Ina maana MUHAS wanaokutibu,na Ardhi university wanakujengea nyumba hawana kitu?UDSM, wengine hamna kitu
Exactly.Vyuo vya Tanzania havitoi wasomi vinatoa watumishi wa Uma ambao wengi wao ni wababaishaji.
Hivi kwani nini UCLAS ( Ardhi university) na MUHAS waliviondoa UDSM?Nimepata kuwa kwenye Gymnasium sköla tulikuwa tunaangalia ubora wa vyuo hasa vya Afrika, ni aibu
Kwa Tanzania UDSM baada ya maprofesa kuingiza siasa na kushindana kuandika mathesisi,
Kimeshuka sana, japo Kwa TZ hakina Mpinzani ,
Pili chuo wali ki dismantle kwa kukigawa gawa mara UCLAS MUHAS vikaondoka,
Ukija upande mwingine, IFM, DIT, SUA na Mzumbe wako vema sana, baada ya UDSM
Udom siasa na UCCM mwingi sana., hata miundombinu si ya kutosha kwa baadhi ya Faculties
Britannica Encyclopedia
Kwa kuwa wew ulishindwa kusoma ehTanzania tuna wasomi waliosomea ujinga! Hehehe.....
Hiyo institute ndo unalinganisha na university kama UDSM ARDHI UNIVERSITY au MUHAS?hebu kuwa seriousDar es salaam maritime institute, Africa viwili tu kingne magharibi njoo kwa mabaharia pale watu wachache wanajua nn wanafanya Unique africa achana na mbwembwe za udsm na aridhi
Ina maana MUHAS wanaokutibu,na Ardhi university wanakujengea nyumba hawana kitu?
Anyway labda Kwa kuwa yalikuwa matawi ya udsm Zamani
Wasomi walioiva vizuri wanapikwa kwa gesi maana yenyewe inawahisha. Ila ukitumia mkaa na vile vyungu vya asili, huwa wanakuwa na ladha nzuriKama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha kusoma University of Dar es salaam n.k hivyo kujikuta wanaangukia kwenye kapu la Udom.
Vivo hivyo wanafunzi wengi wa SAUT ni wale ambao wamejikongoja kutoka shule za kata na wengine wale waliofaulu kwa kurudia mitihani( reseaters) na wale ambao wameunga unga kwa nguvu kuanzia certificate, diploma mpaka degrees.
Kuna wale wa vyuo kama Sebastian Kolowa, Meru University, St Joseph and the likes ambako wanaenda wale ambao lengo lao ni kusomeka ana degree bila kujali hiyo degree imetoka chuo gani.
NB: Karibu tuchangie kwa uhuru na bashasha
Kabisa mkuumtu ukikosa sifa ya kwenda UDSM unabadiliia na kuwa hater wa UDSM. UDSM ni chuo kinachochukua cream yote ya ufaulu yaani div one na two kali ndo wanadahiliwa UDSM sasa mtu unapokuja kulinganisha UDSM na OPEN mara na SEKOM au SAUT nakua na mashaka na elimu yako na uwezo wako wa kufikiri
Haya maswali Mkuu yanajibika hasa kwa wale waliosomea ICT katika vyuo vingi tu hapa TzHakuna chuo TZ kinachotoa wasomi walioiva. Atakayetaja chuo anijibie haya maswali mawili.
1. Ukiowaondolea wasomi wetu kujua kusoma na kuandika unahisi watabaki na nini cha kujivunia kuwa walikipata huko vyuoni?
2. Ukiwaondolea ajira walizonazo muda huu je, wana mbinu mbadala za kuendesha maisha nje ya ajira ambazo mbinu hizo wamezipata huko chuoni?
NB. Elimu yetu inahitaji marekebisho MAKUBWA SANA ili imukomboe Mtanzania kutoka pale alipo kifikra, kijamii, kiuchumi, nk
Kwanza SECOM ndo chuo gani vilewote hao ni matawi ya udsm na bado wahadhiri wa udsm ndo wanaofundisha matawi hayo sasa mtu anakuja kulinganisha udsm na SEKOM kweli
Shule nilizosoma hazikufundisha ujinga kama hizo zenyu za huko Tanganyika!Kwa kuwa wew ulishindwa kusoma eh
Acha hizo basi
Tatizo unejibu kibinafsi sana bado hujajibu kijamii zaidi.Huo si ukweli.
Lile somo la Human resources management ni la nn.
Mm hapa nina diploma ya clinical medicine na nimejiajiri kwa korokoro kibao na now najisomesha degree ni upeo tu wa mtu msisingizie mfumo wa elimu
Hili ndo jibu.Vyuo vya Tanzania havitoi wasomi vinatoa watumishi wa Uma ambao wengi wao ni wababaishaji.
Ahhaahh! Definitely n respect kwa kuliona hili mkuu...Hakuna chuo TZ kinachotoa wasomi walioiva. Atakayetaja chuo anijibie haya maswali mawili.
1. Ukiowaondolea wasomi wetu kujua kusoma na kuandika unahisi watabaki na nini cha kujivunia kuwa walikipata huko vyuoni?
2. Ukiwaondolea ajira walizonazo muda huu je, wana mbinu mbadala za kuendesha maisha nje ya ajira ambazo mbinu hizo wamezipata huko chuoni?
NB. Elimu yetu inahitaji marekebisho MAKUBWA SANA ili imukomboe Mtanzania kutoka pale alipo kifikra, kijamii, kiuchumi, nk
Ulisomea Burundi chuo gani?Shule nilizosoma hazikufundisha ujinga kama hizo zenyu za huko Tanganyika!
Mkuu nahisi bado hujanipata pointi yangu ilipo. Ninachotaka kusema hapa ni kwamba tunasoma ili tuajiriwe BASI kijana anapokosa ajira kinachofuata ni kilio haijalishi amesomea wapi na fani ipi.Haya maswali Mkuu yanajibika hasa kwa wale waliosomea ICT katika vyuo vingi tu hapa Tz
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha kusoma University of Dar es salaam n.k hivyo kujikuta wanaangukia kwenye kapu la Udom.
Vivo hivyo wanafunzi wengi wa SAUT ni wale ambao wamejikongoja kutoka shule za kata na wengine wale waliofaulu kwa kurudia mitihani( reseaters) na wale ambao wameunga unga kwa nguvu kuanzia certificate, diploma mpaka degrees.
Kuna wale wa vyuo kama Sebastian Kolowa, Meru University, St Joseph and the likes ambako wanaenda wale ambao lengo lao ni kusomeka ana degree bila kujali hiyo degree imetoka chuo gani.
NB: Karibu tuchangie kwa uhuru na bashasha
Kuchukua watu wenye sifa si kigezo cha uhalalisho wa hoja yako mfu,ukiishi kwa kukariri maisha ni shida sana,na kama umeoa au kuolewa namwonea huruma mkeo au mumeo kwa hasara hii ndani ya familia,hopeless kabisa wew ngamiamtu ukikosa sifa ya kwenda UDSM unabadiliia na kuwa hater wa UDSM. UDSM ni chuo kinachochukua cream yote ya ufaulu yaani div one na two kali ndo wanadahiliwa UDSM sasa mtu unapokuja kulinganisha UDSM na OPEN mara na SEKOM au SAUT nakua na mashaka na elimu yako na uwezo wako wa kufikiri