Je, ni vyuo gani vinaongoza kwa kutoa wasomi walioiva vizuri Tanzania?

Huo si ukweli.
Lile somo la Human resources management ni la nn.
Mm hapa nina diploma ya clinical medicine na nimejiajiri kwa korokoro kibao na now najisomesha degree ni upeo tu wa mtu msisingizie mfumo wa elimu
Hakuna aliejibu hii hata Mimi mwenyewe. Hii ndio post bora kabisa. Maprofesa wengi ukiwatoa chuoni hawajui chochote kuendesha maisha. Wakistaafu ni kupata stroke na kufa baaaasi.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha kusoma University of Dar es salaam n.k hivyo kujikuta wanaangukia kwenye kapu la Udom.

Vivo hivyo wanafunzi wengi wa SAUT ni wale ambao wamejikongoja kutoka shule za kata na wengine wale waliofaulu kwa kurudia mitihani( reseaters) na wale ambao wameunga unga kwa nguvu kuanzia certificate, diploma mpaka degrees.

Kuna wale wa vyuo kama Sebastian Kolowa, Meru University, St Joseph and the likes ambako wanaenda wale ambao lengo lao ni kusomeka ana degree bila kujali hiyo degree imetoka chuo gani.

NB: Karibu tuchangie kwa uhuru na bashasha
Tanzania vyuo vyote vinatoa wasomi,ila walioelimika ni wachache sana kutoka kwa ivyo vyuo,Madaktari na maprofesa wengine wa hovyohovyo hata kutoka UDSM
 
Chuo kilichozaa mafisadi kuliko chuo chochote duniani ni UDSM ... Sasa sijui umekipa sababu zipi kuwa kwenye orodha yako
 
MUST
Ukiwa Final year nafas za kazi zinaletwa za kutosha ushindwe wew tu!!!!!
 
Kati ya chuo kinacho toa product ya Vilaza wa kumwaga ni UDSM,wanachojua wao wakitoka pale ni kwenda kuajiriwa na siyo kutafuta fursa za kujiajiri.Chuo kinachotoa wanafunzi ambao kwanza wanajiamini na wako more competent ni Open university of Tanzania,hawa graduates kwanza wapo pale chuoni kimalengo sana na wanasoma kwa bidii,uwezo wao mkubwa wa kuchambua vitu upo juu sana,huwezi kulinganisha na chuo kama UDSM wanaobweteka tu kwa hoja kuwa eti ni chuo mama.Kwenye ofisi yetu tuna jamaa mmoja kamaliza UDSM kakozi fulani sijui kamefutwa kanaitwa KABIKOMU yaani jamaa ni very hopeless kabisa aiseee
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha kusoma University of Dar es salaam n.k hivyo kujikuta wanaangukia kwenye kapu la Udom.

Vivo hivyo wanafunzi wengi wa SAUT ni wale ambao wamejikongoja kutoka shule za kata na wengine wale waliofaulu kwa kurudia mitihani( reseaters) na wale ambao wameunga unga kwa nguvu kuanzia certificate, diploma mpaka degrees.

Kuna wale wa vyuo kama Sebastian Kolowa, Meru University, St Joseph and the likes ambako wanaenda wale ambao lengo lao ni kusomeka ana degree bila kujali hiyo degree imetoka chuo gani.

NB: Karibu tuchangie kwa uhuru na bashasha
 
Arusha

ARUSHA TECHNICAL COLLEGE
 
Tumaini university Makumira Arusha
 
Kila chuo kina sifa yake ila naamini elimu ya warumi hawajawahi ukiweka siasa pembeni warumi hawajawahi bahatsha kwenye elimu.
 
Kati ya chuo kinacho toa product ya Vilaza wa kumwaga ni UDSM,wanachojua wao wakitoka pale ni kwenda kuajiriwa na siyo kutafuta fursa za kujiajiri.Chuo kinachotoa wanafunzi ambao kwanza wanajiamini na wako more competent ni Open university of Tanzania,hawa graduates kwanza wapo pale chuoni kimalengo sana na wanasoma kwa bidii,uwezo wao mkubwa wa kuchambua vitu upo juu sana,huwezi kulinganisha na chuo kama UDSM wanaobweteka tu kwa hoja kuwa eti ni chuo mama.Kwenye ofisi yetu tuna jamaa mmoja kamaliza UDSM kakozi fulani sijui kamefutwa kanaitwa KABIKOMU yaani jamaa ni very hopeless kabisa aiseee

mtu ukikosa sifa ya kwenda UDSM unabadiliia na kuwa hater wa UDSM. UDSM ni chuo kinachochukua cream yote ya ufaulu yaani div one na two kali ndo wanadahiliwa UDSM sasa mtu unapokuja kulinganisha UDSM na OPEN mara na SEKOM au SAUT nakua na mashaka na elimu yako na uwezo wako wa kufikiri
 
Binafsi nakikubali Sana chuo kikuu Ardhi cha pale mlimani ni chuo kzr Sana kile kinatoa wasomi na wataalamu wazr Sana na muhimu Sana nchini wa ujenzi maarchitect , masurveyor pamoja mainjinia wazr

Wengine ni MUHAS na baadhi ya college za udsm
 
Back
Top Bottom