Je ni uungwana kuruhusu mke au mme kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni uungwana kuruhusu mke au mme kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JUMONG, Nov 23, 2011.

 1. J

  JUMONG Senior Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa bahati mbaya sana katika jamii yetu ya sasa tofauti na zamani vijana wengi huingia ktk ndoa huku tayari walishakuwa na mahusiano na vijana wengine kimapenzi hapo kabla.Je ni ustaraabu kuruhusu mazoea kama vile ndugu za mpenzi wa mkeo au mmeo wa zamani kuja kumsalimia mkeo au mmeo au wakati mwingine mpenzi wa zamani wa mkeo au mmeo kuja kumsalimia mke au mme nyumbani?Naomba michango yenu wana jamii forum.
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Ngoja wenye ndoa waje!
   
 3. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mruhusu matokeo ukipata uje utupatie na sie.
  OTIS
   
 4. K

  Kristin Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sikiliza moyo wako.
   
 5. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kama wanakutana barabarani ni sawa kusalimiana lakini vya kupigiana simu au ndugu kuendelea na urafiki sioni mantiki.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Inategemea na mtu na mtu. Some people can handle it and some can't.
   
 7. S

  Shedrack msechu New Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni sumu tena sumu mbaya mno sbabu mahawara hawaachani hata siku moja, pengine hawakugombana pindi walipoachana atakapomuona tena anaweza akaingiwa na tamaa kutaka kukumbushia kwahiyo hiyo issue kwangu NOOOOO!!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  unasema kuja kumsalimia nyumbani? Dharau hizo!
   
 9. r

  ritired cube Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh nijambo ambalo unatakiwa kuliepuka sana, usiruhusu litokee kuna ushawishi mkubwa kwa watu waliowahi kuwa wapenzi, epuka hilo
   
 10. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 80
  JUMONG
  Unless there is something suspicious hakuna ubaya wowote. Ila bottom line is, I think it all depends on the involved patners.Kama hizo exes' visits zinamkera mmoja wao then as a consideration the other should limit and/or stop them. Otherwise kama there is nothing going on, watu kuachana wamesha achana , except for issue being "wivu" I dont' see nothing wrong!!
   
 11. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  we chumong wewe........hebu mruhusu wa kwako awasiliane na wa zamani uone itakuwaje...hamjambo huko goguryeo? mi niko hapa buyeo na daeso anakusalimia......
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Binafsi nina moyo wa nyama unaouma....................kwangu ni HELL NO!
   
 13. v

  valid statement JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kama ulimwibia jamaa, afu uje umwachie tena wawe karibu na bibie, unategemea nini?
   
 14. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kwangu kinawaka
   
 15. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  big no! na km nmemwonya hakusikia basi namwachia aendelee nae! no matter wht!
   
 16. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,047
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  Tatizo mna rahisisha rahisisha sana mambo sijui mnagonjweka (mnaumwa) au vipi?
  Sitoi msimamo wngu ila nashauri jaribu kufikiri zaidi ya ulipoishia naamini utapata jibu zuri na hilo ndiyo ulifanyie kazi.
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhh
  Huwezi kumkataza mtu kuwasiliana na mtu
  Utamkataza kwa maneno na ye ata kubali
  Kwa maneno . Lakini huwezi mlindi 24/7.
   
 18. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Huenda ikawa si vibaya lakini,inategemea na misimamo yao. Juzi galfriend wangu na dadake ambaye ni mke wa mtu walikuwa wanauguza mgonjwa hospitali. Wakakutana na mpenzi wa dadake galfriend wangu. Naye ana mke pia na alikuwa akiuguza pia. Cha ajabu walikuwa wakilala pamoja! Kwa siku kama 3 hivi! Ni watu waliopoteana kwa miaka mingi. Unaweza kuona!
   
 19. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Niltaka kuandika hivyo hivyo.
   
 20. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwanza ujue kua Hawara hana Talaka,sasa unadhani utakapo mleta huyu shostito kwangu sawa naweza kujikaza kama nimekubali je wewe nikikuletea X wangu utaweza kumeza? kama ittakua poa kwako basi kwangu ndio oooooooooo mashemeji sijui ma wifi yani maghasia tele mpaka kama bubu utasema.....
   
Loading...