Je, ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa wa kiongozi kitaifa halafu kifo kitangazwe?

Enzi Mwl Nyerere haikuwa siri kwa kiongozi kama anaumwa hadi utawala wa JK. Nani kaanzisha utamaduni wakuficha mtu akiwa na dhamana ya kitaifa.

Je ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa halafu kifo kitangazwe?
Wezi wengi huwa wanapenda kufichaficha mambo yao hata ya kawaida tu ambayo hata yakijulikana hakuna tatizo.
 
Back
Top Bottom