Je ni ushauri wa CCM (Sophia Simba & others) Rose Kamili kumshitaki Dr. Slaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni ushauri wa CCM (Sophia Simba & others) Rose Kamili kumshitaki Dr. Slaa?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mwanamayu, Jul 13, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Namuona Sophia Simba akimpongeza Rose Kamili hapa kwenye hii picha inakuaje?!

  Source: Mwananchi 13/07/2012
   

  Attached Files:

 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  slaa awe makini na uchaguzi wa wanawake..kama rose kamili alichagua jokeri
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,312
  Likes Received: 2,973
  Trophy Points: 280
  Mkuu jokeri kwa kuwa yametokea haya? Lazima ujue unyumba huenda sisi hatujui kinachovutaniwa..
   
 4. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndoa Ndoano wanasema!!
  Kuachwa ni shughuli pevu (remember Chokoraa song!!))
   
 5. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Iwapo ndoa ilikuwa ya kanisani kweli kwanini huyu mama asiende kuweka pingamizi huko kanisani? Ninavyofahamu ni kwamba ndoa huwa inatangazwa mara kadhaa kwa mwenye pingamizi lolote awasilishe, mbona utata? wanaofahamu wanielekeze uzuri kuhusu ndoa ya Kamili na Slaa.
   
Loading...