Je ni tatizo wadada kujimwagia while out of feelings!

Babu mchumi

Member
Jul 5, 2011
62
11
Habari zenu ze great thinkes!
Je ni tatizo mwanamke kujimwagia pasipo sababu?yaan anapokua ktk shughuli zao. mfano akipiga chafya anajikuta amemwaga,ila sio wakat wote,kama ni tatizo dawa yake ni nini?
 
Habari zenu ze great
thinkes!
Je ni tatizo mwanamke kujimwagia pasipo sababu?yaan anapokua ktk
shughuli zao. mfano akipiga chafya anajikuta amemwaga,ila sio wakat
wote,kama ni tatizo dawa yake ni nini?

mh kupiga chafya tu najimwagia huenda lkawa tatizo ingekuwa labda kuendesha bike au michezo km netboli hapo sawa
 
Jaman kujimwagia nini? Kama ni nanii kwan sisi wanawake 2namwaga jaman, si mpaka mambo fulan
 
Back
Top Bottom