Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

sema la azizi unayeninyima usingizi japo umenitupa siku hizi sipati hata habari gani jamani,sijui nimekukosea kitu gani, si simu wala bipu toka kwako nayoipata kama zamani, lakini kumbuka ni wewe tu nayekupenda hapa duniani, luv u!
 
Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.

 
Mpenzi najua una hasira lakini tambua kwako nimefika natafuta namna ya kukuelewesha kwa yake yaliyotufika ili upate uhakika kuwa kwa penzi lako la uhakika kwa mwingine siwezi kuhangaika, leo ni siku duniani uliyofika nami salamu zangu nataka kwako zipate fika, happy B'day mpenzi.

 
hawezi anapata huduma adim kuhama ngum ah ah ah sitaki mawsali tena plzzzzzzzzzzzzzzzzzz

LOL

Hii nayo ni SMS?

"Hasira Za Nini Wee Mamaaa, Wataka Kuniua Bure Mamaaa, Wewe una wako nyumbani, na mi nina wangu nyumbani, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe?"
 
Kila siku najiuliza moyoni hivi ni nini nilichokukosea jamani? Mitaani sikuoni, hata njozini pia huonekani hivi kweli upo hapa duniani? Naamini nitapata kusika toka kwako siku za usoni,nimekumiss nakueleza toka moyoni, zaidi kumbuka haya siyo maisha wanayoishi marafiki duniani!
 
Naamini uatakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi, tafadhali badili yako mavazi , bafuni ingia upate maji kujimwagia, natamani kuja kukusaidia mgongo kuusugua na chakula kukuandalia lakini siku haijawadia, nakupenda dear!

 
Huna haja ya kulia kwa yaliyotokea kwani wewe si wakwanza kutoswa na mimi, nilikwambia ukaning'ang'ania, sasa chukua time. Nakupotezea. Ukirudi nakutoa magazeti ya Udaku. ukiendelea nareport Police.
 
lol. TF mi silali nakuwaza wewe tu. you are the only one i've ever loved hahahha
when i see you my heart skips..lol
Ahaa ahaa lol yaani sweetdada niko tayari kukupa mshahara wangu wa mwaka mzima kuliko kulikosa penzi lako
 
Ama kweli vizuri havikosi kasoro, mapenzi yetu kutwa hayaishi migogoro, hivi sasa giza limetanda totoro, sijuo lini tutamaliza hii migogoro! Be good sweetie.
 
Nimeamua kwenda kwani sihitaji kukutenda, penzi la dhati nilikupa lakini hukutambua kuwa nakupenda, nakutakia maisha mema na utakayempenda!
 
Mapenzi ni kuvumiliana, sikilizana, kuliwazana na mahaba moto kupeana na yule uliyemridhia, mpenzi mbona unanibania?
 
Hakika kama ni mume Mungu kanipatia, kuwa nawe najiona kama malkia, nakupenda mpenzi na daima nitakuenzi, kazi njema.
 
Sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenzi unayonipatia, moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daima kukupatia,nakupenda.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom