Je, ni simu zipi zenye bei chini ya laki mbili na zinasupport OTG?

Ahsante mkuu nimesearch otg kwenye setting ila naona haimo kwahiyo hapa itabidi ninunue simu ingine
hamna boss mbona spark 4 ilisoma Sasa inakuaje toleo linaendana izewenayo fanya yafuatayo chomeka otg hafu nenda setting then connected device then utaangalia Kama otg imeorodheshwa
 
hamna boss mbona spark 4 ilisoma Sasa inakuaje toleo linaendana izewenayo fanya yafuatayo chomeka otg hafu nenda setting then connected device then utaangalia Kama otg imeorodheshwa
Mkubwa hii spark 3 haisomi otg full stop
 
Tatizo hawatoi specs halisi online. Inabidi utest mwenyewe. Ukienda na mouse na otg cable tigo shop wanaweza kukutestia.
Most of time kama simu haisomi otg ni mpaka uroot, ila sometime simu nyengine haziwezi kabisa, mtengeneza simu anakuwa haja include tech husika.
Brother ushauri wako pls simu ni Oppo A1K, Android version 9, Supporting OTG kama inavyodai lakini kila nikichomeka cable ya OTG haisomi kabisa hata baada ya kuiweka on kwenye setting shida inaweza kuwa nini hapa ?.
 
Cable una uhakika inakubali Otg? Cable nyengine zinacharge tu
 
Ni OTG cable mkuu niliinunua Jana na bahati nzuri nimeazima kwa wengine nimejaribu nazo zimekataa pia sijajua shida nn na kwenye upande wa setting nimeweka on.
Una Cable ya Oppo? Maana hawa kina Oppo/Oneplus/Vivo/Realme wana tabia ya kutoingiliana vitu na Brand nyengine. Tafuta mtu mwenye OTG ya Brand mojawapo hapo juu utest.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom