Je, Ni sawa watoto kuona nguo za ndani za mama yao?

BabM

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
1,167
945
Wakuu naombeni kujua kama ni sawa kwa watoto wa kuanzia miaka 5 kuona nguo za ndani za mama yao. Enzi za mwalimu lilikuwa ni jambo haramu kabisa
 
vyupi vinaanikwa nje ,wenyewe wanaema wanaua bakteria. Hii inawezashawishi mtoto kuanza kumpiga chabo mama
kuona kifichwacho
 
Hata kama sio sawa
watazifichaje?
wakati zinahitaji
kupata jua baada ya mfuo
 
mkuu unamaanisha bikini? zamani ilikuwa funua ch,,pi uone ta..o lakini sasa funua ta..o uone ch,,pi
Ndio mpango mzima mkuu,na hizo zimetengenezwa ili huduma ya tigo fasta itolewe haraka na mahali popote,yaani unasogeza uzi pembeni halafu grader linapita kusawazisha barabara.
 
Ndio mpango mzima mkuu,na hizo zimetengenezwa ili huduma ya tigo fasta itolewe haraka na mahali popote,yaani unasogeza uzi pembeni halafu grader linapita kusawazisha barabara.
kuna ka ukweli hapa siku hz vifurushi vya tigo vipo kila mahali duh
 
Mwambie mama yao akifua chupi zake na boxer zako azianike juani na uwafundishe watoto kwamba ni muhimu kuzianika juani chupi zao kwa muda wa kutosha ili kuondoa ukungu wote na bacteria kwa ajili ya kuepuka magonjwa yatokanayo ni hivo vitu! Ukianza kuficha ficha ndo unapofanya wawe wadadisi zaidi kulingana na umri wao! Watoto ni wadadis sana hasa ukianza kuweka siri siri watataka wajue kunani
 
Kuanika sio shida zaweza kuanikwa na kufunikwa na kanga. Ni sawa kuziona? Sisi za wazazi wetu hatukuziona kabisa
 
uhalali gani unauliza mkuu wakati wanaagiza hao hao bwamba nenda ukanianulie nyupi yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom