Binti1
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 662
- 1,745
Kwanza nitangulie kutoa pole za dhati kwa familia, ndugu na marafiki waliopatwa na msiba wa ndugu zetu walofariki kwa ajali ya ndege jana Serengeti.Ni pigo kubwa kupoteza vijana wadogo ambao ndio kwanza wanaanza kuchipua.
Mungu awafariji wote na awape nguvu wafiwa katika kipindi hiki kigumu.
Nime "observe" kwa muda sasa ,yanapotokea majanga ya ajali zihusishazo watu wanaojulikana au wenye ukaribu na watu wanaojulikana namna waandishi wanavyoripoti tukio hilo.
Kama hii ajali ya jana Centre of attention imekuwa familia ya Mabeyo ambayo imepoteza kijana aliyekua rubani wa ndege husika.
Waandishi wamehamisha attention yote huko kwenye magazeti ,mitandao na hata taarifa ya habari (jana ITV).Tukumbuke kwenye ajali hii wamepoteza maisha watu wawili ,je huyo wa pili waandishi hawaoni haja ya kumuongolea??Viongozi wamefika kwa Mabeyo kutoa salamu za pole,je huyu mwengine familia yake haistahili haya?
Hata kama ni raia wa nje (bado sijafahamu) naona kama angepewa heshima stahiki hata kupitia ubalozi wake.Kwanini vyombo vya habari vime base upande mmoja tu?
Niliona kua mwili wa kijana yule usafirishwa kwa ndege kupelekwa Dar kwaa taratibu zinazofuata...huyu mwingine je?
Sio tukio hili tu majuzi kwenye msiba wa Azam tulionyeshwa zaidi upande wa waandishi ila naamini kulikua na madereva ama labda na waadhirika wengine, je hakustahili attention kama ya hawa marehemu wenzao?
Haya mambo yamenifikirisha sana.
Sijui kama nina "overthink "ama nina "over react" ila natamani yanapotokea haya tuwape attention sawa kwani wote ni marehemu na familia zote zimeguswa kwanamna moja .