Je ni sawa kufanya hivi wakati mnafunga ndoa kanisani? wanawake muache hii...

hii ndoa jamani inafungwa 'online' yaani hapo hata uyo bwa harusi yuko bize, wote wanakula kiapo cha shida na raha...lol....mambo ya mtandao hayo wakuu...nothing wrong with that...lol.....
View attachment 69165

Mabinti wa siku hizi wakiwa kanisani wakat wa kufunga ndoa,wanakuwa bize na simu wakichat facebook na mitandao mingine ya kijamii,badala ya kusikiliza nini kinaendelea,mi nawaomba mabinti wenye hii tabia muache ningekuwa mimi ningemchapa kibao uyo binti apo
 
Wewe skuhizi hata vitabu vya dini vinahifadhiwa kwenye simu,so usi judge kwa kushika kwake simu
 
mh hivi kuna mtu kweli anaweza kufungua simu kanisani much worse siku ya ndoa yake!mi nafikiir hili ni tangazo la biashara bana!
ofcoz, hii sio kweli sababu ndoa is a serious matter, mtu hawez kufanya vile. kama sio matangazo, ni photoshop tu.
 
Usikute walitongozana kupitia facebook, kwa hiyo mawasiliano yanaendelea kwa staili hiyi hiyo
 
Mbona hao mabinti nyuma yao kama wanaangalia simu, au illusion ya mijicho yangu.

Back
Top Bottom