Je ni sawa kufanya hivi wakati mnafunga ndoa kanisani? wanawake muache hii... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni sawa kufanya hivi wakati mnafunga ndoa kanisani? wanawake muache hii...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Money Stunna, Oct 24, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,073
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 145
  bride ignores her husband for blackberry phone on wedding day.jpg

  Mabinti wa siku hizi wakiwa kanisani wakat wa kufunga ndoa,wanakuwa bize na simu wakichat facebook na mitandao mingine ya kijamii,badala ya kusikiliza nini kinaendelea,mi nawaomba mabinti wenye hii tabia muache ningekuwa mimi ningemchapa kibao uyo binti apo
   
 2. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 9,100
  Likes Received: 4,565
  Trophy Points: 280
  Anamtumia sms mpenzi wake wa zamani. Ukiona hayo yanafanyika tu, ujue unakabidhiwa kicheche kwa kiapo muda sio mrefu
   
 3. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,073
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 145
  ungekuwa kuwa mkuu ungefanya nini,na kama ulishamuonya akazid kuendelea
   
 4. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  Mbona kidume naye yupo anabrowse fesibuku na aipadi yake...
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,815
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Garambuka kabla hujaumia
   
 6. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haya maendeleo ya sekta ya mawasiliano yanatupeleka pabaya
   
 7. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,073
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 145
  sana tu
   
 8. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wamekutana hao bila shaka ni ndoa ya kuridhisha wazazi.
   
 9. ram

  ram JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 5,868
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Haswa!!!!!!!!!

   
 10. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 9,100
  Likes Received: 4,565
  Trophy Points: 280
  Ningeichukua hiyo simu na kuangalia anachofanya, nikikuta ni madudu hayo anayosema, basi sitakuwa na haja ya ku-jicommit kwake, utakuwa mwisho wa ujinga wenyewe. Na nikikuta anachat na shoga zake nitaiweka hiyo simu yake kwenye mfuko wangu wa koti
   
 11. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,519
  Likes Received: 1,741
  Trophy Points: 280
  Baibo siku izi ipo kwe vimchina vya androids.

  Acha hao wanaotengeneza mazingira ya kuleta fujo kwa kusingizia makaratasi yao yamekojolewa.
   
 12. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,502
  Likes Received: 932
  Trophy Points: 280
  mh hivi kuna mtu kweli anaweza kufungua simu kanisani much worse siku ya ndoa yake!mi nafikiir hili ni tangazo la biashara bana!
   
 13. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,482
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Jibu ni wote vicheche. Hapo ngoma droo kwa sababu ingekuwa mwingine hayuko bize angegundua tofauti aliyonayo mwenzake.
   
 14. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  kwahiyo wansoma neno kwenye simu na aipadi zao eeh?
   
 15. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  kuna mtu kasema eti wanabrowse neno kwenye aipadi na simu zao, si unajua baibo siku hz ipo kwenye softikopi...
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,171
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  ukiona hivyo jua wamekwenda kutafua cheti cha ndoa lakini hakuna muumini hapo.
   
 17. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  inawezekana ibada yenyewe ipo ONLINE!
   
 18. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,482
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Hiyo nimeipenda, cause Softcopy/Online bible itasaidia sana kuzuia watu wanaopenda kukojolea vitabu vya wenzao.
   
 19. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umejuaje km walukuwa kanisani? Au umejuaje km walikuwa wanafunga ndoa na sio DOA?
   
 20. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 310
  Trophy Points: 180
  mie kwenye arusi yangu,nilikuwa nachart na washikaji zangu,sababu nikaa hadi nnikachoka ..washikaji walikuwa wakinizomea tu..
   
Loading...