Allywizzdy
Member
- May 1, 2017
- 24
- 3
jamani wapendwa nnaswali je ni sahii kushika sim ya mpenzi wako au mke wako mda wowote upo ihitaji?
Naonaje nn boss nimeuliza swaliWw unaonaje?!
Kwahiyo ww huna maoni yeyote?!Naonaje nn boss nimeuliza swali
Unabanana?Hizi mada nyingine naona mnajaza server tu
Na ndo maana nimeuliza ningekuwa na wazo ningeshaa jijibu personKwahiyo ww huna maoni yeyote?!
Una churaUnabanana?
Kukaanayo tu my be kutumia au kuikaguaikiwa kumwekea kwenye charger sawa
Teh teh teh.... misUse of resoucesUnabanana?
Kwahiyo swala dogo kama hili umeahindwa kulipayia ufumbuzi umeona uje kuweka uzi halaf ukae kama jiwe la chumvi usubiri majibu?!Na ndo maana nimeuliza ningekuwa na wazo ningeshaa jijibu person
UnachulaUnabanana?
Hujaombwa ujibu au uingie ktk madaHizi mada nyingine naona mnajaza server tu
Ameni CcHujaombwa ujibu au uingie ktk mada
Unaonaje ukikaa left I don't need u round hereKwahiyo swala dogo kama hili umeahindwa kulipayia ufumbuzi umeona uje kuweka uzi halaf ukae kama jiwe la chumvi usubiri majibu?!