Je! Ni sahihi?

Hi wana #jf

Je! unaweza kupanga maisha na mpenzi ambaye huwa mnaogea tu kwenye simu hamjawahi kuonana?
Utakuja kupanaga maisha na majini bureee,maisha gani unapanga naye mtu hata humjui yukoje je ukija kukuta siyo type yako na mshaanza kupanga huoni kuwa utajirudisha nyuma mwenyewe?
 
Utakuja kupanaga maisha na majini bureee,maisha gani unapanga naye mtu hata humjui yukoje je ukija kukuta siyo type yako na mshaanza kupanga huoni kuwa utajirudisha nyuma mwenyewe?

Aaiseeh kuna akili zingine bana sijui ni mchanganyiko wanini?utakuta nahela ulikua unamtumia? Na haumjui?
 
Back
Top Bottom