Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 316
Teheeeee... Maisha gani mnapanga?
Thubutuuuuuu..
Inawezekana.
Utakuja kupanaga maisha na majini bureee,maisha gani unapanga naye mtu hata humjui yukoje je ukija kukuta siyo type yako na mshaanza kupanga huoni kuwa utajirudisha nyuma mwenyewe?Hi wana #jf
Je! unaweza kupanga maisha na mpenzi ambaye huwa mnaogea tu kwenye simu hamjawahi kuonana?
Utakuja kupanaga maisha na majini bureee,maisha gani unapanga naye mtu hata humjui yukoje je ukija kukuta siyo type yako na mshaanza kupanga huoni kuwa utajirudisha nyuma mwenyewe?