Katika pilikapilika za kutafuta maisha nane nane ya jana nimepita sehemu wilaya ya kaliua Tabora Mkurungenzi katoa amri kila mwanafunzi kuanzia darasa la nne lazima wafyatue tofari
Je, ni sahihi analofanya Mkurungezi ameshindwa kuwashawishi wazazi hadi kaamua kutumia watoto
Najua wilaya ya kaliua ina chagamoto ya vyumba vya madarasa mpaka wanafunzi wengine wanasomea chini ya miti lakini kutumia wanafunzi kufyatua tofari hii haijakaa sawa kabisa