Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

Relax wewe jamaa, usitishwe na maneno ya raia wanakuambia mkeo anachapwa nje...

Mimi binafsi huwa naitwa boss na wachuchu kibao, na sababu ya kuitwa hivyo ni vile huwa nanunua bidhaa kwao, hivyo huniita kwa heshima ya mteja ni mfalme...

Huenda kampuni ya mkeo wanahitaji bima ya NHIF, na mkeo ndio contact point ya kampuni na hao bima...

Huenda huyo jamaa ni mtu mwenye nafasi huko NHIF na mkeo labda alizembea kukamilisha kitu fulani na hiyo simu ilikuwa ni simu ya wito tu (makazini huwa watu wanaita ku-push), ambapo unapopush haswa kina mama ni lazima uwachimbe biti ili mambo yasogee (waliowahi kuwa maboss wa kina mama/wadada/wanawake wanaelewa)...

Relax
 
Nitoe pole huyo bwege tayari anacontrol iliyokomaa kwa wife wako ambae kwa sasa ni kama sister wako, mbinu iliopo wamebuni code/lugha/maneno ya kuongea ili wawe huru muda wote ili muda wote uwe bwege bwegulile anapokea simu kibwagizo Boss.

Relationship command involuntarinvoluntarily inasoma kwa tone ya kuchukia ya mpiga simu.

Mchunguze kituo cha kwa lulenge kama bado anzisha haraka. 100 Jokes but 1 works.
 
Mkeo aliniambia hajaolewa,ndiyo maana niliweza kumkaripia kwanini anachelewa kupokea simu, ata alivyo kuwa ananiita boss wangu ni kwamba anatengeneza mazingira siku nyingine nimtongoze aanze kuniita wangu.
 
Relax wewe jamaa, usitishwe na maneno ya raia wanakuambia mkeo anachapwa nje...

Mimi binafsi huwa naitwa boss na wachuchu kibao, na sababu ya kuitwa hivyo ni vile huwa nanunua bidhaa kwao, hivyo huniita kwa heshima ya mteja ni mfalme...

Huenda kampuni ya mkeo wanahitaji bima ya NHIF, na mkeo ndio contact point ya kampuni na hao bima...

Huenda huyo jamaa ni mtu mwenye nafasi huko NHIF na mkeo labda alizembea kukamilisha kitu fulani na hiyo simu ilikuwa ni simu ya wito tu (makazini huwa watu wanaita ku-push), ambapo unapopush haswa kina mama ni lazima uwachimbe biti ili mambo yasogee (waliowahi kuwa maboss wa kina mama/wadada/wanawake wanaelewa)...

Relax
Asante mkuu. Hapa umeshauri kama Hilo jamaa.
Nime reconcile na Wife. Mambo yameenda sawa. Tunaenda Kusherehekea Sherehe ya Yesu Kristo Mwokozi wa Binadamu.
 
Kuna mambo matatu ambayo hayajakaa sawa kwenye hilo tukio zima kwa ujumla wake.

Kwann hajaSave hiyo namba kama kweli ni boss wake?hivi namba ya boss wako unapataje ujasiri wa kutoiSave?mashaka yanaanzia hapa,kwa sisi wazee wa mechi za ugenini tunajua hii ni moja ya mbinu za ULinZi.

Boss anaejielewa hawezi kumgombeza mke wa MTU muda ambao sio wa kazi.kazi zina mipaka yake ikiwemo kuheshimu ndoa ya MTU.hata kama MTU hajaolewa huwezi mpigia usiku nakuanza kumporomoshea matusi as if mko kazini.so kwa sisi WAHUNI tunajua hiyo ni faulo umechezewa tena jamaa amemshika hasa mkeo,inawezekana anaMshughulikia vizuri kuliko ww or anaMuhudumia vizuri kwa kumpa mkwanja mzuri so mkeo ametekwa na huyo jamaa hana usemi or vyote viwili kwa pamoja vinahusika.

Kumuita huyo jamaa boss sio kosa kama lugha iliyokuwa inatumiwa ni Politely, kwa sisi wafanyabiashara ukiwa unambembeleza mteja or unamkaribisha mteja Mpya unamwita boss ili ajisikie fahari na iwe faida kwako aweze kununua bidhaa ulizonazo but ni politely mana lengo ni kushawishi.
Sasa kama kuna biashara yeyote mkeo anafanya na huyo jamaa labda huwenda ikawa yuko ktk masoko japo huyo mteja hapaswi kuwa mkali,kutukana,kukalipia nk nk.
Kama hamna chochote ktk hivyo nilivyotaja ni dhahiri shahiri unagongewa,na mkeo ni mzoefu ktk mambo hayo mana ana techic nyingi za kimalaya kuliko ww.na hyo jamaa yake ameshathibitishiwa kuwa ww si lolote si chochote ndio mana amekuwa na nguvu ya kupiga simu muda wowote na kuwa mkali sababu anajua hakuna shida.
Huo ukali alionao huyo jamaa ni kwamba anamjua mkeo ni MTU wa namna gani hivyo hayuko tayari na yeye kufanywa kama ulivyofanywa ww yaani kuwa zoba so anapambania Mali yake
Ni hivyo mkuu nilivyoelewa mm hawa viumbe usipokuwa makini watu wanaweza pigana kumgombania mkeo kila mmoja akisema wakwake ilihali ww hujui chochote kinachoendelea.
Pole sana cheza cheza mechi za nje kidogo upate uzoefu mkuu.
Umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom