Je, ni sahihi mke kudai mume afute kumbukumbu za picha za mkewe wa zamani?

Kuna online platforms kama GoogleDrive, OneBox, OneDrive etc za kustore kumbukumbu kama hizo picha n.k...

Mwambie rafiki yako aziweke huko, hata kama kwenye PC hazitakuwepo tena lakini atakuwa nazo kwenye cloud storage...

La hasha, atengeneze folder ambalo litakuwa "hidden" na aweke huko hizo kumbukumbu za picha...

Ishu ndogo mbona hizo kudeal na huyo zumbukuku...
Anaweka huko kwa nini? Huyu mke kaolewa ilhali akijua huyu bwana ni mtalaka sasa hakujua kuwa kuna kumbukumbu za huyo mtangulizi wake? Huyo mwanaume hasithubutu kufuta chochote mana ataanza na picha zikiisha atahamia kwa watoto kuwa nao hawataki hapo. Wanaume mnakuwaje ninyi huyo mwanamke anatakiwa adhibitiwe kisawasawa mana anataka kuitawala nyumba.
 
Hata hii ndoa itamshibda tu huyu, ukiona ulioa ya kwanza ikakushinda, heri kuwa bachelor sugu uwe unatafta wanaojiuza tu
Hapo umesema kweli; kuna rafiki yangu aliachana na jamaa yake ambae hajawahi kuoa kwa madai ya kuwa amepata mtu; kumuuliza huyo mtu alishawahi kuoa akasema ndio ola wamedivorce nikamwambia we ipeleke ikapigwe tu kama amedivorce wewe ndio utaweza?

Mwisho nikupe big up Sana nimekuita zumbukuku nione reaction yako lakini wapi; Uko vizuri ni seme tu
 
Huyo Bora angeolewa na ambaye hajaoa, ndoa na mtu aliyekwisha oa/ olewa huwa ni bitter to you won't enjoy hapo kati Kuna watoto wakulea, bado wanaume huwa mnaweka machungu moyoni hayaishi daily kuwataja hao ex wife unategemea huyo mke mpya afikirie nini.
Pia wengi upendo hupoa kabisa, anyway some situations are real difficult I understand new wife anachopitia kwa hyo situation, pia mfupa ulio mshinda fisi kibogoyo atauweza?
 
Mbona umekazania wanaume; ukiona jamaa ametunza picha ujue wife ndi alie zingua.
 
Mbona umekazania wanaume; ukiona jamaa ametunza picha ujue wife ndi alie zingua.
Umeachana na mtu awe kazingua yeye au wewe za nini why ur living the past, wakati past is gone instead ya kufikiria current situation na future unaishi ya kale hapo ndio utakuwa unagombana na wanawake na daily unakuwa unaoa na kuacha na huyu mpya anajua hapendwi anachepuka tena ndio utajua hujui
 
Back
Top Bottom