Je ni sahihi magari ya serikali kutokatiwa bima?

kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,351
1,500
Wadau eti ni kweli magari ya Serikali hayakatiwi BIMA? ndo maana wind screen zinakuwa hazina kitu. Kama ni kweli je ni sahihi?
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
57,680
2,000
Ukiiongelesha serikali habari za bima (nsurance) watakuletea habari za BMW
 
Ze burner

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
510
225
gari za serikali zote zina bina ila hazibandikwe sticker kama ulivyozoea kwa magari mengine. na ndiyo maana kwa madereva wajuzi hata ukiwaomba lift na gari la serikali hawakupi coz wewe huna bima litakapopata ajali wewe utadhurika. ukweli ni kwamba yote yana bima
 
kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,351
1,500
Kwanini hawapewi stickers? Ni kigezo kipi kinatumika kutoa stickers kwa wengine na magari ya serikali yasipewe stickers?
 
Mangimeli

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
1,153
1,250
gari za serikali zote zina bina ila hazibandikwe sticker kama ulivyozoea kwa magari mengine. na ndiyo maana kwa madereva wajuzi hata ukiwaomba lift na gari la serikali hawakupi coz wewe huna bima litakapopata ajali wewe utadhurika. ukweli ni kwamba yote yana bima

nimekukubali kwa kunijuza na mi nsiyejua.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom