EP cosmetics
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,466
- 3,834
Wapendwa hongereni na poleni kwa majukumu ya hapa na pale. MERRY CHRISTMAS.
wakuu kawaida tunapoelekea mwisho wa mwaka wakristo huwa tunasikukuu moja kubwa ya kuzaliwa(kufanyika mwili) mkombozi wetu yaani Kristo Yesu, chistmas ambayo huwa ni tarehe 25 dec ya kila mwaka. na imekuwa ikifanyika tangu mwaka 336AD mpaka leo
Bahati mbaya sana kuna baadhi ya ndugu, marafiki, jamaa, wakristo wenzetu na hata wasio wakristo kwa sababu zao fulani fulani kila mmoja na yake hawaitambui, hawaikubali na kuipokea sikukuu hii ya Mungu kufanyika mwili (umwilisho) kwa ajili ya ukombozi wetu. kifupi kabisa kwao kufanya hivyo ni kosa, ni dhambi, ni kuungana na upagani, ni unbiblical au kinyume cha quran nk nk. binafsi ninaheshimu mawazo na sababu zao.
baada ya maelezo hayo hapo juu hoja yangu ya msingi ni hii.
JE, ni sahihi kwa hao ndugu zetu kutoa au kupokea zawadi zozote za christmas "christmas gifts" ?
JE, ni sahihi kwa hao ndugu zetu kushadidia na kupokea "christmas bonus" toka kwenye vituo vya kazi nk ?
JE, ni sahihi kwa hao ndugu zetu kuchangamkia na kununua products zozote zilizoko kwenye "christmas promo" ?
JE, ofa zozote zile ambazo ni matokeo ya christmas kuanzia "free bundles" nk zinawahusu ?
ninawatakia krismasi njema na maandalizi mema ya mwaka mpya.
KARIBUNI