Je ni sahihi kwa mwanaume kuvaa mavazi haya kama "mtoko"?

Vaeni Pensi ni sahihi, shati la Pink hili naonaga miyeyusho tu kwa mkaka/mbaba yeyote! Kuhusu suruale ya kitenge niwaeleze bila kuficha achaneni nazo bhana, vaeni mashati ya kitenge yaliyoshinwa vizuri. Kila la kheri.
 
Ujue kuna pensi halafu kuna kaptura... bora mipensi tuliozoea kuliko vikaptura vilivyokuja kuibuka siku hizi yaani hovyo kabisa eti likaka limevaa kakaptura ka kitenge upana wa chini ni 14 kama suruali
 
Back
Top Bottom