je ni sahihi kwa mbunge kupewa posho 200,000 kwa siku wakati daktari anayemuhudumia analipwa 10,000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je ni sahihi kwa mbunge kupewa posho 200,000 kwa siku wakati daktari anayemuhudumia analipwa 10,000

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Jan 31, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  wakuu tutafakari pamoja,sina nia ya kumuonea au kumtetea mtu bali naulizia maoni yenu katika hili.
  kuna kawaida ya kuwepo wahudumu mbalimbali wanaohudumia ofisi za bunge.mmoja wa wahudumu hawa ni daktari (lets hope mgomo haujaathiri).sijui huyu daktari analipwa shilingi ngapi lakini kulingana na sheria zilivyo atakuwa analipwa shilingi 10000 kwa siku.je hii ni sahihi kumlipa daktari wa hapo mjengoni penye maisha magumu kiasi hiki wakati mbunge akizoa kitita ch 200.000?
   
 2. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Anyone out there who feels offended by the bunch of thieves in the name of Tanzania MPs? We need to start protesting against this new type of exploitation of our people by a clique of individuals who care less about their fellow human beings. We need to collect 1,000,000 signatures as a matter of urgency to register our anger and disgust. All people of goodwill should unite against this evil.
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  inatia kichefuchefu sana
   
Loading...