Je ni sahihi kuweka uzungu kwenye majina ya kikabila?

Hao wamepitiwa na kasumba za kizungu na wanaona aibu kuonekana Waafrika au watu wa kabila/ukoo fulani........Kwa kifupi ni kutojua thamani ya uasilia wao.

Wanaobadilisha majina yao hawana tofauti na wanadada na baadhi ya wanaume kama mabinti wanaopaka mikorogo waonekane wazungu......
 
Japhet ni jina la asili gani?
 
kwani kuna tofauti gani na wale wenye majina kama charles lakinikiswhaili wataitwa Chale au Grace....Gilesi and so on and so forth inamaana nayo ni kasumba?...just curious.
 
kwani kuna tofauti gani na wale wenye majina kama charles lakinikiswhaili wataitwa Chale au Grace....Gilesi and so on and so forth inamaana nayo ni kasumba?...just curious.

Ama Kelly au Keli ? Mzima shem lakini?
 
Ama Kelly au Keli ? Mzima shem lakini?

Yeah mimi mzima shem...

I think jina lina symbolize character ya ntu i doesnt matter how you call or spell it.haya mambo ya kusema kasumba ni old skool you know...i dont know but i thinkits just me.
 
kwani kuna tofauti gani na wale wenye majina kama charles lakinikiswhaili wataitwa Chale au Grace....Gilesi and so on and so forth inamaana nayo ni kasumba?...just curious.

Wow! very good cupcake!

Nyongeza tu....George - Joji, Paul - Paulo,
 
Wow! very good cupcake!

Nyongeza tu....George - Joji, Paul - Paulo,

yeah cupcake ni character tuu za majina there no need ya kuweka big deal out of it....what matters is cheti changu cha kuzaliwa kinasema Kundi instead if Kelly01 you know....
 
Most of us would like to be, and for us, to be is to be like, and to be like is to be like 'them' not ourselves...kazi ipo
 
Waungwana,
Kuna kitu kimekuwa kinanitatiza kwa kipindi kirefu. Kitu hiki kinahusu kugeuza majina ya kikabila na kuyapa uzungu bila sababu za msingi.Labda kuna sababu ambayo siijui. Inakuwaje kwa mfano mmaasai anayeitwa Laiza kugeuza jina na kujiita " Laizer/Laiser", au mchaga anayeitwa Hoi-se na kujiita "Hoyce"..
wapo pia wale wanaoongeza "s" mwisho wa majina yao kama "Mnzavas", "Matingas" au kugeuza kabisa jina kama vile Juma kujiita " "Jimmy"
Inakuwaje hii? watu wanaonea aibu majina yao au wanafikiri kuyapa nakshi ya kizungu/kigeni ndio ujiko?Nahitaji somo hapa.

I bet that is lack of self determination
 
Jina halina uzungu wala weusi , ni watu wachache sana katika makabila yetu ya kitanzania ukiwauliza maana ya majina yao halisi, hasa yale ya ukoo watakwambia!!
nafikiri jina ni utambulisho wako, sasa inategemea wewe uko wapi, jamii uliyonayo unafikiri itakutambuaje, hizo kosonants na vowels au vifupisho havina maana mfano mtu anaitwa mwamwingeleluko kwa kihehe i.e jina halisi, lakini anishi dar kila akiwatajia wenziwe hili jina : ama hawawezi kulitaja vilivyo ama wanapomuita haitiki maana wanataja kitu kingine na siye, sasa akifikiri wepesi ni mwinges, au leluko, au lukos. ari mradi utambulisho wake ni huo na hawa jamaa zake wa Dar wakaona hii ndo wataweza shida hiko wapi?
 
nothing african sells, i guess..... Thabit akajiita Thabeet... rafiki yangu mmoja mamake kamwita Koni , miak imepita dada kagundua how african the name sounds akabadilisha sasa hivi no Connie.....

langu sasa nabadilisha from shishi to shishy... how abt that??? tsk tsk tsk
 
pulease......usibadilishe,, mbona apo ndo linanoga tu!
 
nothing african sells, i guess..... Thabit akajiita Thabeet... rafiki yangu mmoja mamake kamwita Koni , miak imepita dada kagundua how african the name sounds akabadilisha sasa hivi no Connie.....

langu sasa nabadilisha from shishi to shishy... how abt that??? tsk tsk tsk
Now you are talking!
Need to repackage and reposition siyo?
 
Waungwana,
Kuna kitu kimekuwa kinanitatiza kwa kipindi kirefu. Kitu hiki kinahusu kugeuza majina ya kikabila na kuyapa uzungu bila sababu za msingi.Labda kuna sababu ambayo siijui. Inakuwaje kwa mfano mmaasai anayeitwa Laiza kugeuza jina na kujiita " Laizer/Laiser", au mchaga anayeitwa Hoi-se na kujiita "Hoyce"..
wapo pia wale wanaoongeza "s" mwisho wa majina yao kama "Mnzavas", "Matingas" au kugeuza kabisa jina kama vile Juma kujiita " "Jimmy"
Inakuwaje hii? watu wanaonea aibu majina yao au wanafikiri kuyapa nakshi ya kizungu/kigeni ndio ujiko?Nahitaji somo hapa.

mimi nadhani point kubwa hapa inabidi turudi nyuma na kukiangalia kiswahili chenyewe kinapoelekea, kiswahili kama lugha nyingine ili kikuwe ni lazima kiwe kinaenda na phase ya lugha husika ambayo kwa wakati huo kiwe kina influence kubwa ndani ya wahusika wenyewe yaani waswahili,
kwa miaka ya nyuma kidogo swali lako nadhani lingekuwa kwa nini watu waacha kutumia majina yao ya asili na kuanza kutumia ya kiarabu, lakini jibu linarudi palepale kwa wakati huo kiarabu ndio kilikuwa na influence kubwa sana, ukifika maeneo ya pwani majina kama Pandu, chausiku, makame, jalala, mfanyeje, kidawa yalianza kuonekana ni ya kienyeji mno na ndio majina kama jamila, jasmin, bakari, mohamed, hasan nk yakaanza kuingia pwani, na kuna sehemu hayo majina hayamaanishi ni ya kidini unaweza kukuta mwislamu ama mkristo wato wanatumia majina hayo,
kwa sasa majina hayo watu wote tunayaona ni ya kiswahili tu alkini ukweli yana msingi wake wa kiarabu
tukija kwa wakati uliopo kiingerza ndio kiko kwenye nafasi ya kukiathili kiswahili na impact yake kwa kweli tumeshaiona angalia maneno kama Redio, cassete, cd, computer, tv, frigde, chalk, pen, pencil na mengine mengi tu, kwa hiyo hiyo athali pia lazima iingie kwenye majina kwa wale waliokuwa na wazungu tangu mwanzo walishaanza kutumia majina ya kizungu na ssisi tunayaona ni kama ya kiwsahili tu mfano john, michael, hillary nk,
kwa sababu ilimwingiliano uwe mzuri lazima kuwe na maneno ambvayo yatakuwa na mchanganyiko wa kiingereza na kiswahili (kibantu), na hili sio tanzania tu angalia nchi za magharibi (mali),au nchi za east europe hawa wanamuingiliano mkubwa na kiarabu kwa hiyo majina yao yamechanganyika kienyeji na kiarabu mfano, abdul=abdulae, mohamed=mamadou, ibrahim=ibrahimovich, nk
 
Need to repackage and reposition siyo?[/QUOTE]

Hewala! hata makampuni yakiona biashara haiendi vizuri lazima wawe na stratetgy ya ku -rebrand, repositioning n.k.

sasa hapo huoni Thabit kwa mchezaji mkuu Marekani hainogi kabisa. ubaya ni wale wanobadilisha majina hata kwenye vyeti ... kama ni la ku-strategise tu basi poa.
 
Mkuu,
Ndio maana nikafurahia sana jibu lako maana limejumuisha kila kitu!
 
Back
Top Bottom