Je ni sahihi kuweka uzungu kwenye majina ya kikabila?

Kinachozungumziwa hapa ni kuweka uzungu kwenye majina ya kikabila..na si kuwa na majina ya kizungu au vinginevyo!
Mkitaka maana ya majina ya watu au ID zao...basi anzisheni mjadala huo
 
WomenofSubstanc said:
Waungwana,
Kuna kitu kimekuwa kinanitatiza kwa kipindi kirefu. Kitu hiki kinahusu kugeuza majina ya kikabila na kuyapa uzungu bila sababu za msingi.

Unajuaje kuwa sababu zao sio za msingi? Uliwauliza na wakakuambia au unadhania tu sio za msingi? Na kwa nini unatatizika? Majina yao wao wewe yanakuhusu vipi?

Labda kuna sababu ambayo siijui. Inakuwaje kwa mfano mmaasai anayeitwa Laiza kugeuza jina na kujiita " Laizer/Laiser", au mchaga anayeitwa Hoi-se na kujiita "Hoyce".
wapo pia wale wanaoongeza "s" mwisho wa majina yao kama "Mnzavas", "Matingas" au kugeuza kabisa jina kama vile Juma kujiita " "Jimmy"
Inakuwaje hii?

Wana haki zote za kujiita watakavyo. Hivyo ndivyo inavyokuwa. Hawamkosei mtu yeyote. Hawamdhuru mtu yeyote au kitu chochote. Hakuna anayewalazimisha kufanya hivyo. Ni haki na hiari yao kujiita watakavyo. Na kama hawapendi wajiitavyo basi pia wana haki na hiari za kubadilisha jina/ majina na kujiita wapendavyo. Tatizo lako wewe nini/ lipi?

watu wanaonea aibu majina yao au wanafikiri kuyapa nakshi ya kizungu/kigeni ndio ujiko?Nahitaji somo hapa.

Vyovyote ilivyo wewe tatizo lako nini? Kwani majina yao ni ya kwako?
 
Unajuaje kuwa sababu zao sio za msingi? Uliwauliza na wakakuambia au unadhania tu sio za msingi? Na kwa nini unatatizika? Majina yao wao wewe yanakuhusu vipi?

Wana haki zote za kujiita watakavyo. Hivyo ndivyo inavyokuwa. Hawamkosei mtu yeyote. Hawamdhuru mtu yeyote au kitu chochote. Hakuna anayewalazimisha kufanya hivyo. Ni haki na hiari yao kujiita watakavyo. Na kama hawapendi wajiitavyo basi pia wana haki na hiari za kubadilisha jina/ majina na kujiita wapendavyo. Tatizo lako wewe nini/ lipi?

Vyovyote ilivyo wewe tatizo lako nini? Kwani majina yao ni ya kwako?

polepole..
wewe ni mtu wa mabiff sana eh?......saa zote ulikuwa wapi unavuta shuka kushakucha?
Kama huna cha maana kuchangia kaa kimya waache wenye kutaka kuchangia wachangie! na wala si lazima uchangie mada hii ..huzioni zingine?
Au unadhani mada zote unazoanza wewe ni za maana saaana..kiasi kwamba mtu mwigine akianzisha yake unakandia!

Binadamu hawaishi kihivyo..ndio maana kuna ku co-exist...ukiona changu hakifai nenda kwingine kunakokufaa.
 
WomenofSubstanc said:
polepole..
wewe ni mtu wa mabiff sana eh?......saa zote ulikuwa wapi unavuta shuka kushakucha?.

Mabiff ndio nini?

Kama huna cha maana kuchangia kaa kimya waache wenye kutaka kuchangia wachangie! na wala si lazima uchangie mada hii ..huzioni zingine?

Nionyeshe cha kipuuzi nilichoandika.

Au unadhani mada zote unazoanza wewe ni za maana saaana..kiasi kwamba mtu mwigine akianzisha yake unakandia!

Sijawahi kudhani hivyo na sijakandia mada yako. Punguza jazba bibie, okay?

Binadamu hawaishi kihivyo..ndio maana kuna ku co-exist...ukiona changu hakifai nenda kwingine kunakokufaa.

Oh really........?
 
Nyani unaona noma kwasababu huwa unamwita Kibunango "Kibs" kaazi...Halafu unarudi na kudai miafrika ndivyo tulivyo,we rekebisha sema kwa nafsi yako na si vinginevyo. Umembana mwanzisha hoja na kudai kuhusu WOS,Well are you Nyani? Na kwanini ulichagua kujiita Nyani?
Acha dada wa watu aendelee na topic bana kama hujaimind si lazima uchangie.
Ni maoni tu.
 
"Arguing On The Internet Is Like Running In The Special Olympics: Even If You Win, You're Still Retarded."
 
Nyani unaona noma kwasababu huwa unamwita Kibunango "Kibs" kaazi...Halafu unarudi na kudai miafrika ndivyo tulivyo,we rekebisha sema kwa nafsi yako na si vinginevyo. Umembana mwanzisha hoja na kudai kuhusu WOS,Well are you Nyani? Na kwanini ulichagua kujiita Nyani?
Acha dada wa watu aendelee na topic bana kama hujaimind si lazima uchangie.
Ni maoni tu.
Jmushi,
umegonga penyewe..halafu soma post yangu hapo juu..
 
Nyani mnajua akiingia mahali atakula tu mahindi mabichi hata kama kuna mlinzi.....ni bora huwa makini.

Kuna mtu amesikiliza taarabu ya two in one Mzee Yusufu..Dar Morden taarabu? bofya hapa Bongo5 - Music
 
Nyani unaona noma kwasababu huwa unamwita Kibunango "Kibs" kaazi...

Hahahahaaa...sema Mangi, mambo vipi aithee? Mimi sio "originator" wa hilo jina la "Kibs". Mimi nilmwona Pundit anamwita hivyo halafu ndio na mimi nikaanza kumwita hivyo. Hapo nakubali nifiuata mkumbo. Na hakuna ubaya wowote kwani yeye Kibunango hajalalamika

jmushi1 said:
Halafu unarudi na kudai miafrika ndivyo tulivyo,we rekebisha sema kwa nafsi yako na si vinginevyo.

Miafrika Ndivyo Tulivyo still holds true until proven otherwise.

jmushi1 said:
Umembana mwanzisha hoja na kudai kuhusu WOS,Well are you Nyani? Na kwanini ulichagua kujiita Nyani?.

Nilichagua kujiita Nyani just because. Sikuhitaji na sihitaji sababu yoyote ile ya kujiita Nyani. Heck, nikiamua kesho ninaweza kujiita Tembo....got a problem with it?
 
Hahahahaaa...sema Mangi, mambo vipi aithee? Mimi sio "originator" wa hilo jina la "Kibs". Mimi nilmwona Pundit anamwita hivyo halafu ndio na mimi nikaanza kumwita hivyo. Hapo nakubali nifiuata mkumbo. Na hakuna ubaya wowote kwani yeye Kibunango hajalalamika

Miafrika Ndivyo Tulivyo still holds true until proven otherwise.

Nilichagua kujiita Nyani just because. Sikuhitaji na sihitaji sababu yoyote ile ya kujiita Nyani. Heck, nikiamua kesho ninaweza kujiita Tembo....got a problem with it?

Kama ulijichagulia kujiita Nyani...then kwanini hukujichagulia kusema Jiafrika mimi ndivyo nilivyo? Zungumzia nafsi yako wewe mwenyewe ndio point yangu.
Kama unaamini kila mtu anaweza kujiita anavyotaka basi ina maana unaamini kila mtu anaweza kuchukua maamuzi anayotaka,sasa criticism kwamba ndivyo tulivyo ina contradict msimamo wako.
Acha tuone, mbali na uamuzi wa kujiita unavyotaka,kwenye mjadala huu watu wanataka kujuwa ni kwanini wamechaguwa hivyo na si kwanini wanafanya hivyo.
Got it?
 
Kama unaamini kila mtu anaweza kujiita anavyotaka basi ina maana unaamini kila mtu anaweza kuchukua maamuzi anayotaka,sasa criticism kwamba ndivyo tulivyo ina contradict msimamo wako.

Mimi "Miafrika Ndivyo Tulivyo" ndio msimamo wangu. Na ndio, kila mtu ana haki ya kuchukua "maamuzi" anayotaka. Kwa hiyo na wewe una haki ya kuchukua "maamuzi" au msimamo unaotaka kuhusu msimamo wangu au kuhusu mimi. Hilo hujakatazwa Mangi...Lol
 
Ili waafrika waweze kuendelea ni lazima wathamini chao, nimegunduwa. So ndio maana ya topic hii,je kwenye issue ya majina,wanavyofanya hivyo ni sahihi? Uamuzi wa kufanya jambo flani ambalo linapelekea wengine kusema "Ndivyo tulivyo" ndio unaokuwa questioned kwenye topic hii.
Sasa hushangazwi kuwa viongozi wetu wanajipima ufanisi wao kwa kutumia kigezo cha umatonya.....Kama JK alivyokuwa akitetea tripu zake kwa madai kuwa zina manufaa kwa wananchi...Yani the much you beg the more popular you should be. Mindset gani hii?
Ni noma,na i think it will take a generation,lakini lazima kuwe na mwanzo.
 
Pouwa basi Mangi, hamna noma.....
 
Yeyote anayejiita kizungu ni mnyonge,mtumwa,na mtu asiye na makao,,,ni kasumba mbaya,pia ndio hawa wanaochanganya kiswahili na kizungu et aonekane amesoma,ila hii kasumba ni kila mahali maana hata maeneo mazuri yaitwa uzunguni.Mie naona ndio kufikia kiwango cha juu kabisa cha upunguani
 
Mkuu with all due respect,
Sidhani kama kuna ubishi katika hiki unachokisema hapo juu.
Hoja yangu iko palepale... sizungumzii kutafsiri majina la hasha.Wala sijauliza kwanini watu wawe na majina ya kizungu, kihindi,kiarabu,etc.

Issue ni : kwanini usiandike jina lako inavyopaswa na badala yake ujaribu kuongezea huko "er" au "s " au "y" etc? Kama naitwa mathalani " Uledi" kwanini niongezee d na y isomeke "ULEDDY"au kama jina langu ni Mwanamkasi nijiite " Mwanamkassey"........ni hicho tu!

...Gotcha!

...kama alivyosea mwanachama mmoja humu, kuwa sahihi au la sio hoja, yote inatokana na pride ya mwenye jina...

hata Mwanamkasi akiamua kujiita Mwassy yote sawa tu, so long as it suits her, so be it!...
 
Yeah..to each his/ her own........
 
Yeyote anayejiita kizungu ni mnyonge,mtumwa,na mtu asiye na makao

nikijiita kiarabu, kichina au kihindi itakuwa sahihi?

...ni kasumba mbaya,pia ndio hawa wanaochanganya kiswahili na kizungu et aonekane amesoma,

siamini eti kuongea/kuandika "kizungu" ina maana ya usomi

maana hata maeneo mazuri yaitwa uzunguni.

yale mabaya ndio uswahilini, na uhindini au?

Mie naona ndio kufikia kiwango cha juu kabisa cha upunguani

matabaka yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo. Ni uamuzi wa mtu, unataka uishi maisha gani.
 
I do not wanna be outdated ngoja nami nijiite Masanil...hii nikizungu zaidi ama kihindi ?
 
Back
Top Bottom