Je, ni sahihi kuweka sukari kwenye maziwa fresh?

Phdum

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
807
1,664
Sijui kama nipo jukwaa sahihi au lah.
Naomba kuuliza kama kuongeza sukari kwenye maziwa fresh hauwezi kupunguza ubora wa maziwa?
Kwan hata maziwa mgando yakiwa yameganda kabisaa ukiweka tu sukari yanaanza kukatika. Karibuni kwa mchango.
 
Huwa siweki kabisa sukari kwenye maziwa yeyote iwe mgando au maziwa fresh, labda niandaliwe na mtu asiyefahamu hilo.
 
Huwa siweki kabisa sukari kwenye maziwa yeyote iwe mgando au maziwa fresh, labda niandaliwe na mtu asiyefahamu hilo.
Kwanini mkuu? Maana wengine tunakosa kabisa ladha kwenye maziwa fresh
 
sidhani kama kna madhara ukiweka sukari japo binafsi sipendelei kweka sukari kwenye maziwa.
Wengine hawapendi hata harudu ya maziwa (wanadai yanuka kin'gombe ng'ombe) ko wanatia iliki/mdalasini/vanila kkata ile harufu so ni mapenzi ya mtu.
 
KWA MATAZAMO WANGU HUWA NAAMINI BILA UTHIBITISHO WA KITAALAM/KISAYANSI KUWA UTUMIAJI WA KITU CHOCHOTE WHETHER IT'S FOOD SUBSTANCE AU MATERIAL YOYOTE, IKIWA KATIKA UHALISIA WAKE AU NATURALITY YAKE BILA KUWA MIXED OR DISTURBED NA KITU KINGINE HUWA KINA PUNGUZA BAADHI YA NGUVU AU MAKALI YAKE. I BELIEVE FRESH MILK BILA MIXER YOYOTE NDIO POA SANA, WHETHER IWE INDUSTRIAL PRODUCT, FRESH PRODUCT BILA KUCHEMSHWA KAMA WAMASAI WANAVYOKUNYWA BAADA YA KUKAMUA MFUGO AU STEAMED MILK/YALIYOCHESHWA MAJUMBANI/MIGAHAWANI.
 
Sijui kama nipo jukwaa sahihi au lah.
Naomba kuuliza kama kuongeza sukari kwenye maziwa fresh hauwezi kupunguza ubora wa maziwa?
Kwan hata maziwa mgando yakiwa yameganda kabisaa ukiweka tu sukari yanaanza kukatika. Karibuni kwa mchango.
Mkuu, nimefuatilia nyuzi hakuna aliyekujibu.
Sasa nakujibu.
Sio sahihi kuweka sugar kwenye maziwa. Sababu:
Maziwa yana acid kiwango cha 4.5 kwenye ph scale.
Sugar ina acid kwa wingi sana, hivyo kuongeza sukari kwenye maziwa ni kuingeza acid kwa wingi hivyo kuongeza burden tumboni maana huko tumboni pia zinamwaga HCL ili kuua vijidudu vya vyakula na kulainisha mmeng'enyo.

Hivyo unauumiza mwili kuongeza sukari kwenye maziwa, ni bora uache kutumia maziwa kama huwezi kuyatumia hivihivi au weka asali.
 
Siwezi kukupa sababu maana toka nikiwa mdogo sikuwa napenda kutia sukari.

Na sasa ukubwani ndiyo kabisaa; vitu vya sukari sukari sipendelei kabisa.
Kwani ukisema umeshauriwa na Daktari uache kutumia vitu vya sukari unapungukiwa nn?
 
Sijui kama nipo jukwaa sahihi au lah.
Naomba kuuliza kama kuongeza sukari kwenye maziwa fresh hauwezi kupunguza ubora wa maziwa?
Kwan hata maziwa mgando yakiwa yameganda kabisaa ukiweka tu sukari yanaanza kukatika. Karibuni kwa mchango.

Hakuna athari yoyote kuweka sukari katika maziwa. Sukari sawa sawa na ilivyo chumvi, kazi yake kubwa nu kuongeza ladha kwenye chakula.
 
Kwenye bia nakuta sukari,
Kwenye soda nakuta sukari,
Kwenye juice nakuta sukari,

Jamani hadi maziwa niweke sukari? Mimi sijui kama ni sahihi au siyo sahihi ila nilishajiwekea utaratibu wa kunywa maziwa bila sukari ili walau nipunguze sukari iliyopo mwilini hata kuacha soda pia kimbembe kipo kwenye kuacha kile kinyeaji chenye rangi ya mende.!!

I hope nimekusaidia japo kwa kuchelewa.
 
Mkuu, nimefuatilia nyuzi hakuna aliyekujibu.
Sasa nakujibu.
Sio sahihi kuweka sugar kwenye maziwa. Sababu:
Maziwa yana acid kiwango cha 4.5 kwenye ph scale.
Sugar ina acid kwa wingi sana, hivyo kuongeza sukari kwenye maziwa ni kuingeza acid kwa wingi hivyo kuongeza burden tumboni maana huko tumboni pia zinamwaga HCL ili kuua vijidudu vya vyakula na kulainisha mmeng'enyo.

Hivyo unauumiza mwili kuongeza sukari kwenye maziwa, ni bora uache kutumia maziwa kama huwezi kuyatumia hivihivi au weka asali.
...jibu lako njema, mkuu.
Kuweka asali je?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom