Je, ni sahihi kupitisha Nyaya za Umeme juu ya nyumba bila ridhaa ya mwenye nyumba?

gibral01

Member
Jan 13, 2013
57
13
Ni sahihi kupitisha nyaya za umeme juu ya nyumba bila ridhaa ya Mwenye Nyumba? Na Kama ikitokea nyaya zimepita kwenye uwanja wa mtu na baadae akataka kujenga nyumba sehemu hiyo atafanyaje?

Naomba ufafanuzi ili wote tuwe na uelewa wa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika hilo inaweza ikawa halali Kama mchoro wao unawataka kufanya hivyo, lakini pia inaweza isiwe halali Kama mchoro wao hauja elekezwa kupitisha hapo.

Kwa madhara yanayo weza kutokea Kama Michoro haijaelekezwa maeneo hayo ni kwamba Shirika anakuwa muwajibikaji katika hayo madhara.

Note....!!!

Kwa ushauri mfupi nenda Kituo cha Shirika cha mali pako ujiridhishe, ila Kama michoro iko mahala pake chukua hatua mapema ya tahadhari kabla ya madhara na hasara kujitokeza, pia ikiwa iko kimakosa zungumza nao au wakupe maelezo ya kitaalamu ambayo yanaeleza namna nyaya hizo hazita leta athari ikiwezekana waombe barua ya uthibitisho katika hilo.

Ahsante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zikate hawatajua nani kakata wakifunga tena zikate tena hivohivo kama ni watu wenye akili timamu wataelewa ...we’re not negotiate with terrorist
 
Back
Top Bottom