Je, ni sahihi kumuita mzee Karume 'The dictatorial Zanzibar President'?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,528
Nasoma kitabu cha Wasifu wa Mwalimu Nyerere kiitwacho 'A Biography of Julius Nyerere: The Making of a Philosopher Ruler' kilichoandikwa jointly na Watunzi watatu kikiwa na Juzuu tatu. Sasa nipo juzuu ya kwanza ya wasifu huu iliyoandikwa na Saida Yahya Othman ambapo kwenye ukurasa wa 71 nakutana na sentensi hii:

...,"Nyerere returned him to Zanzibar from the mainland, where he was to be tortured and killed by the dictatorial Zanzibar President Abeid Karume"...

Hapo anamzungumzia Othman Sharif miongoni mwa wana serikali wakongwe wa Zanzibar na Tanzania ambaye aliwahi pia kuwa Balozi wa Tanzania Washington na pia alikuwa Waziri wa Elimu

20200825_082528.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom