Je, ni sahihi kuchukua Bank Statement ya kampuni kinyemela bila kuwataarifu wenye kampuni?

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Ni sahihi kuchukua bank statement ya kampuni kinyemela bila kuwataarifu wenye kampuni? Na Je bank statement ya kampuni yaweza kutumika Kama ushahidi wa mtu binafsi na Ikawa tendered na mpelelezi Mahakamani kama exhibit?

Mfano Reaction Mapambano halafu Reaction wanakampuni yao inaitwa Toronto tabora ltd je statement ya Toronto inaweza kutumika Kama ushahidi kwa Reaction?!
 
haiwezekani,na huyo mfanyakazi wa bank alietoa atafukuzwa kazi au kushitakiwa kabisa. kama sio mhusika huwezi npewa bank statement
 
Back
Top Bottom