Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 452
Nimekaa na kufikiria iwapo akatokea Raisi wa chama chochote Africa katika uchaguzi mkuu na akashindwa na Upinzani bila kung'ang'ania na kuamuru kutangazwa mshindi huyo wa Upinzani, Si atakuwa amevunja record Africa nzima na kuwa mfano, kuheshimiwa na huyo Mpinzani wake?Je, ni nchi gani itafanya hilo?Je, angefanya hivyo mkulu Mkwere si angekuwa na amani tele tu kwa sasa?
Nawakilisha tu wakuu..
Nawakilisha tu wakuu..