Je, ni Raisi gani ataweka historia Africa?

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,040
1,500
Nimekaa na kufikiria iwapo akatokea Raisi wa chama chochote Africa katika uchaguzi mkuu na akashindwa na Upinzani bila kung'ang'ania na kuamuru kutangazwa mshindi huyo wa Upinzani, Si atakuwa amevunja record Africa nzima na kuwa mfano, kuheshimiwa na huyo Mpinzani wake?Je, ni nchi gani itafanya hilo?Je, angefanya hivyo mkulu Mkwere si angekuwa na amani tele tu kwa sasa?
Nawakilisha tu wakuu..
 

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,448
2,000
Una wazimu, angekuwa Segerea hivi sasa ..... madudu aliyofanya na bado anaendeleza.
 

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,522
2,000
Mkwere alipata 27% akang'ang'ania na kutumia nguvu ya dola kurudi Magogoni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom