Je, ni Rais gani kati ya hawa anafaa Kuongoza Afrika na Wananchi watampenda na atakumbukwa nao milele?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Rais A

Mkali
Mbishi
Mnafiki
Mkusanyaji mzuri wa Kodi
Mwizi
Mbinafsi
Malaya ( Muhuni )

Rais B

Mpole
Mkarimu
Muungwana
Ana uwezo mdogo wa Akili
Mwizi wa taratibu
Anainua Vipato vya Wananchi
Mpenda Ushauri na Mawazo

Rais C

Mshirikina
Mcha Mungu
Mnafiki
Mkabila na Malaya
Muuaji
Mpenda Visasi
Mjenga Uchumi na Miundombinu

Ninaamini mtachagua tu Rais aliye bora.
 
Awe na sifa zote ila hiyo ya mchaMUNGU sina hamu nayo maana kuna mmoja alijiita MPENZI wa MUNGU alichotufanya hatuna hamu.
Nimecheka sana Mkuu!!! "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu"
 
Ki
Rais A

Mkali
Mbishi
Mnafiki
Mkusanyaji mzuri wa Kodi
Mwizi
Mbinafsi
Malaya ( Muhuni )

Rais B

Mpole
Mkarimu
Muungwana
Ana uwezo mdogo wa Akili
Mwizi wa taratibu
Anainua Vipato vya Wananchi
Mpenda Ushauri na Mawazo

Rais C

Mshirikina
Mcha Mungu
Mnafiki
Mkabila na Malaya
Muuaji
Mpenda Visasi
Mjenga Uchumi na Miundombinu

Ninaamini mtachagua tu Rais aliye bora.
Kifupi usikubali kutawaliwa na Rais Muuaji - Rais anayewaogopesha wananchi kwa kila jambo, Rais anayetaka kutawala mabubu, Rais ambaye hataki kusikia Why & How kutoka kwa wananchi, Rais asiyejali utu - HUYO SI RAIS hafai HATA KIDOGO.

Thanks Covid-19 kutupunguzia mzigo.
 
Nitarudi
IMG_20210408_210709.jpg
 
Kwan nn umelazimisha hizo sifa ku zigroup katika makundi matatu tu? Kwa mujibu wa hesabu,hayo makundi na hizo sifa kuna aina zaidi ya 1000 ya viongozi wanaweza kupatikana
 
Rais A

Mkali
Mbishi
Mnafiki
Mkusanyaji mzuri wa Kodi
Mwizi
Mbinafsi
Malaya ( Muhuni )

Rais B

Mpole
Mkarimu
Muungwana
Ana uwezo mdogo wa Akili
Mwizi wa taratibu
Anainua Vipato vya Wananchi
Mpenda Ushauri na Mawazo

Rais C

Mshirikina
Mcha Mungu
Mnafiki
Mkabila na Malaya
Muuaji
Mpenda Visasi
Mjenga Uchumi na Miundombinu

Ninaamini mtachagua tu Rais aliye bora.
Tunataka raisi MCHA MUNGU NA MWENYE HOFU YA MUNGU..maana HUYO
Atakuwa na sifa zote za kuwa raisi bora
 
Mie sipendi mcha Mungu, najua adhari zake, pia sipendi mzalendo kwa kuwa atajiona yeye ana haki zaidi kwa uzalendo wake!
 
Hapo ndio waafrica tunapokwama.
Tunaangalia sana sifa za nje za kiongozi,tunasahau binadamu anapopata madaraka/cheko hubadili tabia kwa zaidi ya asilimia40%.
Mkombozi mkubwa kwetu ni kuwa na mifumo rasmi(katiba nzuri isifuata matakwa ya mtu bali nchi,mahakama huru,vyombo ya kusimamia sera nk) yenye nguvu na mamlaka,inayoweza kukwambia rais unakosea/umekosea kwa uwazi na kumwajibisha afanyapo utumbo na kinyume chake.
Nchi nyingi za africa,rais ndio mahakama,hakimu,mpelelezi,jambazi,muuaji yaan vurugu tupu.

Mimi naamini kama taifa tunahitaji kuwa na midahalo/mijadala ya uelekeo wa kitaifa kwa pamoja,tukishirikisha makundi ya kila sekta.
Ukombozi wa nchi unaletewa na mwananchi.
 
Back
Top Bottom