Je ni pongezi zipi utakazompa Magufuli ndani ya kipindi kifupi cha utawala wake?

Jun 8, 2016
59
31
BILA UZANDIKI NA KUUMAUMA MANENO HUKU UKIJIPAMBANUA KWA MAWAZO YAKO MWENYEWE NA KAMA MTANZANIA MZALENDO : JE NI PONGEZI ZIPI UTAKAZOMPA MH RAIS JPM NDANI YA KIPINDI HIKI KIFUPI SANA CHA UTAWALA WAKE? Karibuni sana.....
 

Attachments

  • magufuli.+(1).jpg
    magufuli.+(1).jpg
    12 KB · Views: 43
Ukata umezidi kwa kasi kipindi alichoshika madaraka sasa hivi tunakula milo miwili bila uhakika wa kesho
 
1.Kushughulikia wafanyakazi hewa
2. Kumaliza tatizo la wanafunzi kukaa chini
3. Kuhakikisha elimu bure kuanzia darasa la kwanza mpaka form 4
4. Kumaliza tatizo la wagonjwa kulala chini
5. Kufuta matumizi makubwa ya sherehe za kitaifa yasiyo na tija
6. Kufuta safari za nje ya nchi zisizo na maslai ya taifa
7. Kutetea viwanda vya wazawa
8. Kutimiza ahadi ya kuanzisha mahakama ya mafisadi
9. Kutumbua majupu bila simile
10. Kurudisha nidhamu na uwajibikaji serikalini

Hayo 10 ya kwanza yanatosha kwa sasa, nikiamka nitamalizia mengine 90
 
BILA UZANDIKI NA KUUMAUMA MANENO HUKU UKIJIPAMBANUA KWA MAWAZO YAKO MWENYEWE NA KAMA MTANZANIA MZALENDO : JE NI PONGEZI ZIPI UTAKAZOMPA MH RAIS JPM NDANI YA KIPINDI HIKI KIFUPI SANA CHA UTAWALA WAKE? Karibuni sana.....

Hakuna maana hana NIA ya DHATI ya kupiga vita RUSHWA na UFISADI.Imani tuliyokuwa nayo imetoweka baada ya kutoa BUNGE meno yote na kumweka Waziri wa Bunge kwenye nafasi ya Naibu spika
 
Back
Top Bottom