Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
Habari wakuu,Kuna kitu kinaniumiza kichwa sana kuhusu utaratibu na vigezo vya kuwapata wawakilishi wa viti maalumu chadema maana wengi wao ni mabinti warembo na tetesi kadhaa zikihusisha rushwa ya ngono katika teuzi hizo tujikumbushe maneno ya naibu waziri juliana shoza alikiri kuondoka kwake chadema kumemuepushia kuwa chakula cha makamanda turudi kwenye ile voice note ya mwenyekiti na mrembo wema sepetu kitu kilichochangia kwa kiasi kikubwa mrembo huyo kurudi ccm.
Habari kutoka chazo cha kuaminika ndani ya chadema kuwa kwa mwanamke huwezi kupata teuzi za ubunge viti maalumu ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo kama ujatoa rushwa ya ngono kwa mwenyekitI Mh Mbowe.Mifano mizuri ni kwa grace kiwelo ,chiku ambwao na Sophia hatau.Kitu ambacho kinatakiwa kikemewe kwa nguvu zote na wependa haki na watu wanaoamini katika mungu.Udhalilishaji wa kigono ni jambo la aibu sana kwa chama kikubwa cha upinzani chama ambacho kinajinasibu kuwa ni chama chenye mawazo mbadala hivyo chama kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya tuhuma hizi kwa kuwachukulia hatua watu kama mbowe pia takukuru inapaswa ichunguze na kuwafikiha mahakamani kwani rushwa ya ngono haikubaliki