Uchaguzi 2020 Je, ni nini itakuwa Hatima ya Tanzania chini ya Lissu?

In short Lissu hawezi kua Rais wa nchi hii tuache hata hizo Assumptions ambazo hazina maana?
Anasera gani? Matusi na Chokochoko na Vurugu za kuleta Ugomvi kwa Watanzania wenye Amani kwa zaidi ya Miaka 50 tangu Uhuru?
NO!
LISSU HAWEZI KUWA RAIS WA TANZANIA
Amani????
 
Nimejaribu kufatilia hotuba za Lissu kujua endapo atachaguliwa tutakuwa na Tanzania ipi sijapata jibu nchi itaendelea au kurudi nyuma je miradi kama bwawa la umeme la nyerere, daraja la busisi, standard gauge, itakufa maana katika hotuba zake zote upinga vitu hivi ndege ndio kabisa anawauliza wananchi wanafaidika na nini

Je, tutazamie kwenda mbele au kurudi nyuma?

CHADEMA inaweza kupata wabunge walau 5% je anaweza kuunda Serikari?

Mambo ya serikali za majibu yamo kwenye ilani ya chadema au ni mawazo yake nineuliza sijapata majibu nimeuliza watu wanaomfatilia nini hasa waneelewa juu ya sera za chadema iwapo itapewa ridhaaa hakuna majibu ya ihakika

Mwenye kuekewa aje kutuhabarisha nawakilisha

Kabla ya kuuliza watu walioko nje ya jamvi hili, tueleze Je wewe umefaidikaje na hiyo miradi ikiwemo ndege?
 
Ni dili kwenda mbele na rushwa..maana hivyo ndio huleta maendeleo ya mtu mmoja mmoja kwa haraka. Hiyo miradi mingine sijui rea, madaraja, hospital, mahakama, mwalim nyerere, vivuko, ndege haimuhusu..haina tija kwa nchi wala wananchi..vyenye umuhimu ni watu kuwa na majumba makali na magari makali. Pamoja na kuongea chochote mfano mama samia afumaniwa na mume wa mtu.
 
Dili zinapigwa na Mayanga Construction, Magufuli na Doto James
 
Nimejaribu kufatilia hotuba za Lissu kujua endapo atachaguliwa tutakuwa na Tanzania ipi sijapata jibu nchi itaendelea au kurudi nyuma je miradi kama bwawa la umeme la nyerere, daraja la busisi, standard gauge, itakufa maana katika hotuba zake zote upinga vitu hivi ndege ndio kabisa anawauliza wananchi wanafaidika na nini

Je, tutazamie kwenda mbele au kurudi nyuma?

CHADEMA inaweza kupata wabunge walau 5% je anaweza kuunda Serikari?

Mambo ya serikali za majibu yamo kwenye ilani ya chadema au ni mawazo yake nineuliza sijapata majibu nimeuliza watu wanaomfatilia nini hasa waneelewa juu ya sera za chadema iwapo itapewa ridhaaa hakuna majibu ya ihakika

Mwenye kuekewa aje kutuhabarisha nawakilisha

BUnge lina vunjwa , uchaguiz upyaa china ya tume huru mpyaa.
 
Don't predicted worses aboutour future wakati kura yako ni moja tu....lissu anatosha Let's reminds about five yrs a go what Jpm had did? To wounded Lissu .
 
In short Lissu hawezi kua Rais wa nchi hii tuache hata hizo Assumptions ambazo hazina maana?
Anasera gani? Matusi na Chokochoko na Vurugu za kuleta Ugomvi kwa Watanzania wenye Amani kwa zaidi ya Miaka 50 tangu Uhuru?
NO!
LISSU HAWEZI KUWA RAIS WA TANZANIA
Ww ndo unaamua au ni wananchi wapiga kura?
 
Gharama za kujenga bwawa la Nyerere ni Trilion 6. Mpaka sasa hivi mkandarasi amelipwa 1.4 T. Hata Magufuli akipewa mitano tena hawezi kumaliza ujenzi wa bwana la Nyerere.
Ukweli lazima usemwe na huo ndo ukweli Awamu ya Tano hata wapewe miaka 10 zaidi hilo bwawa halitakamilika kwa ukosefu wa fedha na utaalamu dhaifu usiyo na uzoefu. Miaka 5 imekwisha bado hawajaanza kujenga bwawa lenyewe ambalo ndo kazi kubwa inayohitaji utaalamu wa hali ya juu sana ili liweze kuhimili nguvu ya maji bwawa likijaa. Hata bypass ya kubadili mkondo wa mto ili waanze kujenga ukuta wa bwawa kwenye mkondo wake wa asili toka dunia iumbwe bado hawasemi lini mto utahamia kwenye bypass. Hata SGR mara ya mwisho tuliambiwa ingekamilika hadi Morogoro mwezi Novemba, 2019 bado mwezi mmoja utimie mwaka haijulikani imefika wapi wala lini itafika Moro ingawa mawe ya msingi lukuki yameshawekwa njia yote toka Dar mpaka Uvinza mpaka Isaka. Muda huu wa kampeni tutasikia mengi ya mafanikio ya Awamu hii maana leo hiihii imetangazwa kuwa tenda ya ujenzi wa SGR toka Mwanza mpaka Isaka iko tayari kwa wakandarasi kuomba ujenzi uanze fedha ipo. Mwanza/Isaka ni home port kwa wapiga kura lakini hizo treni zitatokea wapi zikienda wapi kama Isaka-Tabora-Dodoma-Moro bado kujengwa? Miradi ya Magufuli haionekani inasemwa tu ni mingapi, manufaa yake na mabilioni/matrilioni ya fedha zilizolipwa au kutengwa na Rais wao mpendwa. Tembo weupe majeruhi ndo Awamu ya Sita itarithi!
 
Nimefanikiwa kuipata na kuisoma ilani ya chadema 2020/2025 imeandiwa kama report ikiwa imejaa malalamiko ya utendaji wa awamu ya tano ,ilani ilipaswa kujikita kwenye sera zaidi na sio kuripoti yanayo endelea
 
Back
Top Bottom