je ni nani mwenye mamuzi jiji la dar

Allyoki

JF-Expert Member
Mar 23, 2007
251
138
:confused:wana jamii hebu nisaidieni kwa hili mji wa dar es salaam nani mwenye mamuuzi tuna mameya watatu na wasaidizi wao na meya mkubwa wao na mkuu wa mkoa na wakurugenzi na madiwani je ni nani anaaumua huu mji uendelezwe vipi uwe na rangi gani nk. loh hapa pananichosha.
 
Umesahau, kuna wakuu wa wilaya pia...!
 
Mwenye maamuzi ni Rais tu, ndiyo maana jiji lilipopiga marufuku watu kwenda beach, rais aliamuru watu waruhusiwe kwenda...du..bongo bana..
 
Hata Pinda alisha kuona mkanganyiko uliopo kwenye Jiji hilo, lakini pamoja na yote hayo Diallo wa Mwanza naye anataka nako huko kuwe mkanganyiko huo huo
 
Wenye mamlaka na jiji kwa kipindi hiki ni manispa za kinondoni, ilala na temeke...

Halmashauri ya jiji na mkuu wa mkoa ni cosmetic and ceremonial posts
 
tutamkumbuka Frederick Sumaye alivyo libadirisha JIJI LA DAR, hawa waliopo ni wizi mtupu.
 
Back
Top Bottom