Je ni nani kati ya hawa ni copyright na Msanii Diamond

oky nimekuona bestito ilile jambo letu tumelihairisha mpaka 25 jan best kwani mwenzetu charm anauguliwa alishindwa kuja
bado nipo huku madongo kuinama, sijarudi home bado mpendwa wangu...... Huku naingia kwa kubp tu angalau nitie sign kuwa na mie nipo
 
jamani kura zenu!! njooni mniappruvu jamani!!

nagombea u-diamondi platinumz huku!!

appruvu yako moja ndio kura yako tafwali..!

nina uwezo mzuri sana wa kuserebuka ngololo..!

kiitikio cha nataka kulewa chooote, kiko kisogoni tayari..!

nafanana nae karibu kila kitu!

..... si mnaonaaaa..!!!
 
Mkuu huna sifa yoyote ya kua diamond, kwanza huna domo...me namchagua kukudume2013 hata kama hayupo kweli list
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huna sifa yoyote ya kua diamond, kwanza huna domo...me namchagua kukudume2013 hata kama hayupo kweli list

hahahaaaa!! mkuu umejuaje? si umeona kama post edited? nilijiwekea hiyo sifa halafu nikaifuta!

nimejitahidi sana ku-@smile lakini imeshindikana! hahhaaaa!!

ngoja waniappruvu kivingine bana!

lakini si mnaona naelekea jamani?
 
Hapo ungemuweka matumbo angechukua zote... kwa ule mdomo..
 
Last edited by a moderator:
Hii thread ndio naijibu leo pamoja na kwamba niliionna the day umepost!
Pumzika kwa amani mkuu umaarufu mwingine haufai
waache kina Lady doctor watu8 Madame B Baba V Arushaone kiwatengu Judgement @hevean on earth Nicas Mtei na wengine wawe maarufu tu!

mkuu Mwanyasi nadhani umekereka sana na ujinga aliokuwa anaufanya ladyfurahia mi kinachonitatiza ni matumizi yake ya ID's kibao, ikumbukwe hii kitu haijaanza leo kwa huyu mtu, aliwahi kuja hapa na jina moja hivi, wakati anamwish elibariki minja happy birthday ile ID mi siikumbuki but wadau walibaini mapema kwa sababu ya stail yake ya uandishi.
huyu mtu anashida kidogo.
na ni stress tu.
apate mtu wa kumsaidia kwa karibu atakuwa sawa..
hatua yakujitangazia kifo ni mbaya kabisa.
 
Eeee shem kiwatengu kuna nini huku???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom