Je ni nani kati ya hawa ni copyright na Msanii Diamond

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,942
2,000
Habarini mabestitoooooooo

Natumai muwazima wa afya mko mkiandaa katika maandalizi ya
mwaka mpya wa 2014 Je mmjiandajee marafikiki zangu
je mmeshajipanga katika mambo mbalimbali ya maendele yenu?

Je kama bado mnasubiri nini wakati ndo ushayoyoma bandugu?
Kama ulishindwa kutimiza malengo yako ya mwaka huu basi
una nafasi ingine kwa mwakani kujipanga na kuyatekeleza yale
uliyojiwekea hapo mwanzo usikate tamaa kwani Mungu yuko nawe
JIPANGE SAWASAWA KWA MWAKA UNAOKUJA 2014
nawe utaona mafanikio DO'NT GIVE UP

Marafiki zangu katika hawa WANAUME wa jf hapa ni nani
unayemuona kimtazamo wako anafanana na msanii DIAMOND
uwanja ni wako tambua na sema waziwazi vile uonavyo hapa


DIAMOND MWENYEWE HUYU HAPA:

diamond.jpg


Wanaume wa jf nimewatiririkia kihivi ona picha zao:


arushaone.jpg
Arushaone

baba v.jpg
Baba V


bak.jpg
BAK


bishanga.jpg
Bishanga


bujibuji.jpg
Bujibuji

excel.jpg
Excel

kichomiz.jpg
kichomiz

mwanyasi.jpg
Mwanyasi

young master.jpg
Young Master

slave.gif
Slave

bundewe.jpg
Bundewe

kiranja mkuu.jpg
Kiranja Mkuu

kabanga.jpg
kabanga

kobun.jpg
kobun

utafiti.jpg
utafiti

kinyoba.jpg
kinyoba

Chagueni yupi anayefanana naye sana Diamond hapo kisha twanga maneno yako ya kumsifia bestito
Samahani kama nimewaudhi niliowaweka hapa pichani bali nikuchitchat tu kwa kwenda mbele mabestito

Nawatakia kheri na fanaka katika kuukaribisha mwaka mpya 2014 nawapenda

Wasalaamu;

Ladyf


 
Last edited by a moderator:

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
ladyfurahia.. mambo vp! kwanini hukunistua nichukue mipoint mapema lakini?

by the way, nikutakie jumapili njema sana!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom