Je, ni namna gani wasanii wananufaika na mtandao wa youtube?

ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,746
2,429
Salam kwenu wakuu. Nimekua nafatilia jinsi wasanii mbalimbali hapa nchini wakishindana video zao kupata viewers wengi na nimewahi kusikia pia hua MTANDAO wa youtube unawalipa watu wenye viewers wengi. Maswali ni

1. Je, ni kweli MTANDAO hua huwalipa watu. Kama ndivyo ni nini vigezo vyao hao youtube mpaka wakulipe?

2. Je, Sheria ya MTANDAO inawataka hao wasanii ama mtu yoyote mwenyeacount ya youtube channel kuilipia na kusajili TCRA?

3. Hao youtube wanawalipa kila mwezi?

4. Vipi KWA wengine wenye account huko youtube Kama za mapishi, filamu n.k nao wanalipwa.

Karibuni KWA mwenye ufahamu
 
Ndio, youtube hulipa channel zinakizi vigezo, channel inayokizi vigezo huwa inapata matangazo(ads) ya youtube.

Na ili google ikubali maombi yako ya kupata hayo matangazo, channel inapaswa ipate subscibers 1000 na watching hours 4000 ndani ya mwaka, contents zisivunje hakimiliki yaani ziwe original ni zako.

Sheria za kipuuzi za TCRA zinataka kila channel na blog zisajiliwe. Ila kama una wazo la channel ww anzisha tu usiwe muoga na hao jamaa.
 
Nakushukuru Sana mkuu KWA MAJIBU yako mazuri. Channel yangu nilianzisha mwaka 2013, Sasa hivi ndo Nina mpango wa kuweka videos. Je nikipata hao subscribers na hizo watching hours kabla ya mwaka mmoja, you tube watanicosider BADO ni mpya?? Inabidi nisubiri mwaka?
 
Nakushukuru Sana mkuu KWA MAJIBU yako mazuri. Channel yangu nilianzisha mwaka 2013, Sasa hivi ndo Nina mpango wa kuweka videos. Je nikipata hao subscribers na hizo watching hours kabla ya mwaka mmoja, you tube watanicosider BADO ni mpya?? Inabidi nisubiri mwaka??
Hapo channel inakuwa imefuzu.
 
Back
Top Bottom