Je, ni muhimu wanandoa kusalimiana mnapoamka asubuhi?

kipotabo

Member
Jun 8, 2013
13
27
Kwanza fahamu kwamba wanandoa wanapokaa muda mrefu baadhi ya vitu huanza kuchakaa kimapenzi. Hata hivyo upendo na wema husaidia kurudisha moto wa mapenzi na wanandoa kujiona wapya kila umri unavyozidi kuongezeka.
Matendo yanayoonesha wema kwa wanandoa ni gundi inayoshikisha wawili kujiona wapo karibu na moja ya tendo la wema ni kumsalimia mwenzako wakati mnaamka hata kama mmelala kitandani kimoja na hata mlikumbatiana usiku mzima au ulimuweka mwenzi wako kifuani usiku mzima.
Anayesalimiwa hujiona anapendwa, ana thamani na pia appreciated.
++++++++++++++++++++++++++

Tupo kwenye new millennium kiasi ambacho watu tupo busy hata kuamka tunahitaji kuweka alarm ituamshe hata hivyo badala ya kukimbia bathroom kuoga ni muhimu kumpa kwanza salamu mwenzi wako ndipo uendelee na kazi zingine au na ratiba yako.
Tafiti zinaonesha wanandoa ambao husalimiana asubuhi wanajiona ndoa yao ni nzuri sana na wana mahusiano yanayoridhisha.
++++++++++++++++++++++++++++++++

Je, nini kinafanya maneno ya salaamu ya asubuhi kuwa muujiza katika ndoa na mahusiano?
Unapomsalimia mwenzi wako maana yake unamwambia na kumpa ujumbe kwamba ni asubuhi njema tumeamka pamoja katika upendo na furaha na kwamba unajisikia vizuri kuanza siku mpya na mtu wako na pia unaweza msingi mzuri wa mawasiliana kwa hiyo siku mpya.Je, ni muhimu wanandoa kusalimiana mnapoamka asubuhi?
Kwanza fahamu kwamba wanandoa wanapokaa muda mrefu baadhi ya vitu huanza kuchakaa kimapenzi. Hata hivyo upendo na wema husaidia kurudisha moto wa mapenzi na wanandoa kujiona wapya kila umri unavyozidi kuongezeka.
Matendo yanayoonesha wema kwa wanandoa ni gundi inayoshikisha wawili kujiona wapo karibu na moja ya tendo la wema ni kumsalimia mwenzako wakati mnaamka hata kama mmelala kitandani kimoja na hata mlikumbatiana usiku mzima au ulimuweka mwenzi wako kifuani usiku mzima.
Anayesalimiwa hujiona anapendwa, ana thamani na pia appreciated.
++++++++++++++++++++++++++

Tupo kwenye new millennium kiasi ambacho watu tupo busy hata kuamka tunahitaji kuweka alarm ituamshe hata hivyo badala ya kukimbia bathroom kuoga ni muhimu kumpa kwanza salamu mwenzi wako ndipo uendelee na kazi zingine au na ratiba yako.
Tafiti zinaonesha wanandoa ambao husalimiana asubuhi wanajiona ndoa yao ni nzuri sana na wana mahusiano yanayoridhisha.
++++++++++++++++++++++++++++++++

Je, nini kinafanya maneno ya salaamu ya asubuhi kuwa muujiza katika ndoa na mahusiano?
Unapomsalimia mwenzi wako maana yake unamwambia na kumpa ujumbe kwamba ni asubuhi njema tumeamka pamoja katika upendo na furaha na kwamba unajisikia vizuri kuanza siku mpya na mtu wako na pia unaweza msingi mzuri wa mawasiliana kwa hiyo siku mpya.
 
kusalimiana muhimu, hata kama kila siku kisu inalala kwenye ala yake....
 
hv kuna salamu zaid ya morning glory!
eheheheheh ila itabid iwepo manake ...............................
cc King'asti
 
Last edited by a moderator:
Haina haja, nawaacha wamelala narudi wamelala siku ya off ndo wananiona ...sikumbuki nimesalimia lini
 
kusalimiana muhimu, hata kama kila siku kisu inalala kwenye ala yake....

hiyo ngumu jamani
salamu za nini?
Aaaa nimekumbuka.
Unamsalimia hivi'umeamkaje mpenzi?chai ipo tayari je utaanza na mimi au utaanza na chai?
Huku sauti imerembuka
 
Salamu mhimu sana ikiwezekana fanyeni hata sala ya kuamka pamoja
 
hiyo ngumu jamani
salamu za nini?
Aaaa nimekumbuka.
Unamsalimia hivi'umeamkaje mpenzi?chai ipo tayari je utaanza na mimi au utaanza na chai?
Huku sauti imerembuka
umepatia kabisa na salamu yake, laakini muda huo unaulizia chai ya kawaida kwa kuwa BBCimekuwa imeshaisha...
Unaijua BBC?
 
Wafrika tunazidi kuwa maskini kwa kupoteza muda mwingi kwa kuutumia kusalimiana.
 
Wafrika tunazidi kuwa maskini kwa kupoteza muda mwingi kwa kuutumia kusalimiana.

mmmh! How? Kumwambia mwenzako umeamkaje ni kupoteza muda? Umenshangaza nyie ndo wale mkifka kwa wake zenu "we mama bhokhe kaa vizuri nkurenge" haahaahaa!
 
Mie mke wangu ananiamkia shikamo nimemzidi miaka 6 mwanzo nilikuwa namkataza nilichoka mwenyewe sasa tuna miaka 13 ya ndoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom