je ni mtu maarufu, mfanyabiashara mkubwa, mwanasiasa yupi umemsave katika simu yako?

Mulugo ndo role modal wangu mchapakazi,mwadilifu msimamo,msomi mwenye utu, heshima,uvumilivu na adabu!
 
Back
Top Bottom