Je, ni mimi tu nashindwa kukaa siku nzima bila kuingia mtandaoni?

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
428
575
Salaam wakuu

Hii tabia sasa imekua chronic kwangu haiwezi pita siku ndani ya masaa 24 nisiingie internet Tabia hii imenifanya,kutumia pesa kununua,bundle ili nisitoke mtandaoni.

Japo kuwa Mara nyingi vitu,ninavyo,Fanya mtandaoni ni vyenye kuleta mambo chanya napenda sana kujifunza,mambo mapya ya msingi na kujua kinacho jiri katika nchi zingine za wenzetu hasa, ughaibuni mwisho nikagundua starehe yangu,kubwa,nikutumia internet I like surfing the web that's all!

Vipi nyie wakuu mnaweza vipi kumanage this situations?
 
Binafsi siyo mzurulaji, natumia sana internet.

So, jambo la msingi ni kujifunza na kuanzisha biashara mitandaoni.
 
Back
Top Bottom