Je ni mhimu kupenda kwa moyo wa dhati?

Mkuu ndo hivo,tunaweza tukapenda ila tunapopenda isiwe sababu ya kupoteza nafsi zetu na majuto ktk maisha

Fanya nini ni muhimu kwenye penzi lako Mkuu wangu....
Ingekuwa maadhimisho flani basi kaulimbiu ingekuwa "timiza wajibu wako" lol

Kaka unaonekana kama una hofu flani hivi uh??
 
Fanya nini ni muhimu kwenye penzi lako Mkuu wangu....
Ingekuwa maadhimisho flani basi kaulimbiu ingekuwa "timiza wajibu wako" lol

Kaka unaonekana kama una hofu flani hivi uh??
Kaka ni kweli ila ukijitoa sana maumivu yanakwepo pia
 
Mguu nje, mguu ndani ndio mpango wa sasa, kichwa kichwa hukawii kulia dunia ya sasa.
 
Ukitaka ujue raha na karaha za kupenda, penda kwa dhati. Penda kwa moyo wako wote.
 
Back
Top Bottom