Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

Jemedaree

Member
Nov 22, 2021
27
75
Naona kama kikundi cha watu flani wanachati
Mmoja anauliza,mmoja anajibu..anyway
I hope this isn’t a scam !

Guy’s be careful with your money!
Only Place i can trust is a bank only.
Hakuna faida rahisi rahisi duniani hapa
 

Investor 1

Member
May 4, 2022
12
45
Naona kama kikundi cha watu flani wanachati
Mmoja anauliza,mmoja anajibu..anyway
I hope this isn’t a scam !

Guy’s be careful with your money!
Only Place i can trust is a bank only.
Hakuna faida rahisi rahisi duniani hapa
Jamii forum ni mahali unapoweza kupata taarifa, maoni, ushauri nk. Hili jukwaa ndio mahali unaweza kupata taarifa za kibiashara, uchumi nk. Ni kweli ni watu wachache wenye interest tunachat na imetusaidia kupata taarifa. Binafsi nimepata information nyingi za UTT kupitia jamii forum. Mimi binafsi sioni Kama kunashida watu wachache wakichati.
 

ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
5,022
2,000
Hawa ndio wale ambao jirani yake anaepambana akitoboa maisha basi huamini kuwa ni utajiri wa nguvu za giza, hawaamini ktk kujituma coz ameshindwa hata kuingia kwenye mitandao na platform nyinginezo kufuatilia hki kitu ambacho anakiita scam.
Ndio hivyo, tuna uvivu Fulani watanzania na hili ndio maana wanapigwa sana.Maana UTT wana matangazo mpaka kwenye radio haswa kwenye ligi kuu ya NBC
 

Kamanda wa Kweli

JF-Expert Member
Jul 13, 2014
1,366
2,000
Naona kama kikundi cha watu flani wanachati
Mmoja anauliza,mmoja anajibu..anyway
I hope this isn’t a scam !

Guy’s be careful with your money!
Only Place i can trust is a bank only.
Hakuna faida rahisi rahisi duniani hapa
Kwamba una mashaka na UTT? Unadhani ni taasisi ya mtu binafsi?
 

Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
22,794
2,000
Naona kama kikundi cha watu flani wanachati
Mmoja anauliza,mmoja anajibu..anyway
I hope this isn’t a scam !

Guy’s be careful with your money!
Only Place i can trust is a bank only.
Hakuna faida rahisi rahisi duniani hapa
Mhh mwenzangu 🤣🤣🤣
Unatupa mashaka na akili yako…
 

mbota

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
916
500
Hivi ukinunua vipande kwa simu inachukua muda gani kusoma kwenye akaunti . ? Na pia ipi bora kununua kwa Mitandao ya simu au bank ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom