Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,419
- 37,627
Ndo maana huwa nakutofautisha na Mashabiki wengine wa Simba.Oscar usimtilie maanani yule akipewa mpunga anapuyanga maneno tu kwenye page yake.
Ndo maana huwa nakutofautisha na Mashabiki wengine wa Simba.Oscar usimtilie maanani yule akipewa mpunga anapuyanga maneno tu kwenye page yake.
Kwa hiyo Oscar macho kodo ndo mtangazaji wa SOKA mahiri?Anatangazia station gani na alishatangaza mechi gani?View attachment 2093544
Mtangazaji mahili wa soccer hapa nchini bwana Oscar Oscar, eweka wazi kwamba kitu wanachoweza yanga ni uchawi na ushirikina.
Ikumbukwe kuwa akina mzee Mpili walijaribu kuiroga simba lakini hawakufua dafu.
Tuseme kwa sasa maruhani kutoka warabuni yameingizwa!? Maana tunajua wenzetu kwa ushirikina na ulozi hawajambo. Je, ni ya kweli yanayosemwa kwenye mitandao!? Eti ni kweli kocha anatumia maruhani, kwamba kwenye nchi za kiarabu ameshindwa kutokana na kwamba wote wanayajua!?
Mimi yangu hayo machache nimeyasikia kwenye mitandao.
Mleta mada ni kilaza yaaani pompompo,mbuzi kasoro mkiaUnakaa kabisa na kumuamini oscar kuwa yupo serious? pole sana and BTW kwenye hiyo post sijaona neno Yanga, unajuaje ana maana ingine?
Bora nikuoe wewe
Hivi unaijua Nsumba S.S?Oscar anachangamsha genge muanzisha mada. Siku nyingine hata sie Simba huwa anatuandika anavyojisikia. Ni ana sherehesha mambo hupaswi kuyachukulia serious..we tabasamu jikatae na mambo yako.
Mleta mada ni kilaza yaaani pompompo,mbuzi kasoro mkia