Je, ni lazima unavyosafiri kwa kutumia usafiri wa ndege wa ndani ya nchi (local flights) uwe na kitambulisho cha uraia (NIDA)?

IfNot WhyNot

Senior Member
Aug 21, 2013
117
226
Habari wana JF,

Je, ni kweli pale unapolazimika kusafiri kwa kutumia usafiri wa ndege wa ndani ya nchi (local flights) ni lazima uwe na kitambulisho cha uraia (NIDA) au unaweza kutumia kitambulisho chochote iwe leseni ya udereva au kitambulisho cha kazi?
 
Habari wana JF,

Je ni kweli pale unapolazimika kusafiri kwa kutumia usafiri wa ndege wa ndani ya nchi (local flights) ni lazima uwe na kitambulisho cha uraia (NIDA) au unaweza kutumia kitambulisho chochote iwe leseni ya udereva au kitambulisho cha kazi?

Hata wa nje ya nchi huitaji, ni kitambulisho tu cha Kira, leseni, passport etc
 
Sio lazima uwe ns kitsmbulisho chochote kinachothibitisha kuwz mtu sliyrkats tiketi ndiye snsyesafiri, hii hsts kwenye mabasi ni lazima sema huwa hawsjsli
Habari wana JF,

Je ni kweli pale unapolazimika kusafiri kwa kutumia usafiri wa ndege wa ndani ya nchi (local flights) ni lazima uwe na kitambulisho cha uraia (NIDA) au unaweza kutumia kitambulisho chochote iwe leseni ya udereva au kitambulisho cha kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na kitambulisho ni muhimu kwenye usafiri wa anga
Hata mataifa makubwa kuwa na passport sio lazima bali wanashauri uwe hata na Id au driving licence
Nafikiri ni kutambua majina ya wasafiri kama ikitokea ajali mnajulikana kwa majina

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom