Je! Ni lazima developer ajue kila component ya IDE na kazi zake?

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habari developer, mimi sipo vizuri sana kwenye coding lakini nashukuru angalau napata uelewa mpana kila siku

Sasa nataka nianze kutumia visual studio ide, balaa ni hizo component baadh baadh sizielew je kuna umuhimu wa kujua zote na kazi zake
 
Unajifunza lugha gani?
Stage ya kwanza huwa ni kutumia raw tools. Editor, console, git et al. Ukiishajua vinqfqnyq vipi kazi then unaweza kutumia IDE.

IDE inakusaidia liweka kila kitu under one roof.

Kujibu swali lako, ni hapana. Huhitaji kujua kila kitu bali vile tu unahitaji kutumia at that moment. Vongine utaongeza kadri unavyohitaji
 
Hakuna ulazima wa kujua kila kitu kwenye IDE, programming, etc. Jifunze vitu muhimu utakavyovihitaji mana hii sekta ina mambo mengi sana
 
Back
Top Bottom