Yusuph Salehe
Member
- Nov 12, 2010
- 58
- 1
Hivi ni kweli kwamba mtu asipofanya ngono kwa miaka mingi anapata madhara??
Hakuna Madhara yoyote utakayo yapata.Hivi ni kweli kwamba mtu asipofanya ngono kwa miaka mingi anapata madhara??
Madhara gani ya kisaikolojia?nafikiri utaathirika kisaikoloji. Ila hamna madhara mengine zaidi
akili inazubaa otherwise awe ni mtu wa mazoezi
Nadharia zenu si za kweli. Hazina uthibitisho wowote wa kisayansi wala kidaktari.Kwa ndume hakuna madhara, kwa jike anaweza akapoteza uwezo wa kufikiri kimaantiki.
Makusudio ya ( ngono) kwa wale waliowa lakini sio zinaa Ni hivi Mambo Matatu
(1) kuhifadhi nasaba (kufanya ukoo uendelee)
(2) Ktoa Maji amabayo yanadhuru kuyazuwiya katika mwili tu yakawa huyatoi.
(3) Kukidhi Matamanio, na kupata Ladha ya jimai (Ngono)
Mambo hayo matatu ndio Makusudio hasa ya ngono. Ama Ma Dokta wanaona kwamba ngono ni mojawapo ya sababu za kuhifadhi Afya ya Mtu. Mtu akizuwiya kutowa Manii kwa kutofanya Ngono muda mrefu sana wa kudumu humzushia Mtu Maradhi mabaya, mfano kama wasiwasi,Wazimu,na Maradhi mengineyo.
Kwa hivyo yatakiwa Mtu ajilazimishe Mambo Matatu.
(1) Asiache Mwendo awe anatembea tembea kila siku.
(2)Asiache Kula chakula ili chango zake zisifungane Tumboni.
(3)Asiache Ngono kwa mke wake, Kwani Kisima kisichotekwa maji yake, maji hupotea yakawa hayatoki tena.