Je, ni kweli wenye damu kundi O huwa hawana risk kubwa ya magonjwa ya maambukizi? Hasa ya magonjwa zinaa?

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
Habari wana jamii wenzangu,

Naomba kujua juu ya tetesi hizi ninazozisikia sana mitaani kuwa wale ambao wanakuwa na Group O katika makundi ya damu huwa hawana risk ya kubwa ya kupata magonjwa hasa yale yanayoenezwa kwa njia ya kujamiana ikiwemo HIV/AIDS. Pia nasikia ni watu ambao huwa wanaumwa mara chache sana tofauti na watu wa magroup ya amu mengine.

Na ukweli wowote unaoujua juu a watu hawa wenye damu Group O.

Naombeni mnijulishe.

MICHANGO ILIYOTOLEWA NA WADAU
Damu kundi "O" limegawanyika katika makundi mawili ambayo ni "O" Negative(Hasi) na "O" Positive (Chanya).

Katika kundi hilo wenye kundi Chanya wana Tabia nyingi sana amabzo weyewe hawajijui kama tabia hizo ni asili ya damu kudi hilo.

1.WENGI NI WAPENDA NGONO

Asilimia kubwa ya watu wenye kundi hili la damu wanapenda sana ngono kuliko kitu kingine,haswa wanaume wenye damu kundi hili wanapenda wanawake wenye makalio makubwa, wao hawaangalii sura,ili mwanamke amaye amejazia nyuma ndio wanavutiwa zaidi.

Kwa wanawake wenye damu kundi hili pia nao wanapenda sana mchezo huu,wana mvuto wa kupendwa nna wanaume.

2.NI WASEMAJI SANA

Asilimia kubwa ya watu wenye damu kundi hili wanapenda sana kusema(ni wachangamfu) haswa katika jamii ya watu.

3.NI WATOAJI WAZURI

Wengi wa watu wenye kundi hili wana moyo wa kutoa kuliko kupokea,huwa hawapendi wenzao wapate shida ila wengi wana asili ya kuutangaza msaada wao ukiwaudhi.

4.MARADHI.

Maradhi makubwa yanayowasumbua ni malaria,kichwa kuuma upande mmoja(kipanda uso),mafua au kutoka damu za pua haswa wanapokula nyama,maziwa.

5.NGIRI
Kwa wanaume wenye damu kundi hili asilimia kubwa wana maradhi ya tumbo kujaa gesi haswa wanapokula baadhi ya vyakula haswa chipsi.

6.WANAFANANA NA WATOTO WAO
Wengi wakizaa huwa wanafanana sana na watoto wao iwe sura,tabia au mwendo na mara nyingi katika maisha yao huishi au kuzaa na mpenzi zaidi ya mmoja.

ALAMA ZAO
Alama kubwa za watu wenye damu kundi hili ni kuwasha na masikio kwa ndani,fangasi za vidole vya miguu kwa wanaume na kwa wanawake vidole vya mikono haswa wakifua,pua kuwasha kwa ndani.

Na Mwangaza Blog
 
Kwanza fanya utafiti wa kujua watu wa sehemu yako wangapi wana group O+ or - na wangapi wana damu tofauti na ujiue je wangapi wanakuwa attacked na magonjwa mara kwa mara.

Mimi ni group O, mme wangu ni O watoto wetu watatu ni O isipokuwa mmoja ni A sababu amekuwa adopted. ila sisi wote ni O+ na tunaishi maisha ya kawaida. Asilimia ya waafrika ni O + positive kama sikosei naomba nikosolewe.
 
Shikamoo dada VP umeshaondoka (my apology kwa kutoka nje ya mada)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushimen,
Ha ha ha haaa ha ha haaa
LOh! Umeua Kwakweli
Yaaani Sema Sasa Mimi Nimeoa Unajua Mke Wangu Mrefu Mweupe Afu Mimi Mweusi
Yaani amejaazia na Kajigawa Kisawasawa yaani Mpaka Nikitembea Naye Najikuta Ninazo Hata Kama Sina.

Tunawatoto Watatu lakini Naona Bado Kama Ndio kwaaanza Nimemtoa Ukweni Leo Asubuhi Tyuu
sasa Nawaza Ninunue Hata kapaso Kamoja Kwakweli Ili Niwe Namficha Maana Nikaamua Kujiajili Maana kazi Ya Kuajiriwa Nilikuwa nasafiri sana.

Nikaona Isiwe Kesi Wacha Nijiajiri mwenyewe nijilindie vyangu.

Yaani Umenikosha Japo samo fac naona Nikweli Na Zingine ni dondoo Tyuuu
 
Ushimen,
Hapo Kuna uliyoyaandika kama yana kaukweli fulani maana Mimi ni O+ na mengine naweza kataa ati tunapenda sana Ngono???? Ngono ni kawaida tu sex ni muhimu ila kwa kupenda makalio me nakataa pengine tunatofautiana.. ila ukishashikwa na hamu ya kusex for sure huwezi tizama sura labda ujue pale sio hapafai...

Kuhusu Magonjwa kweli me Kuumwa kichwa upande mmoja ndio umepatia haswa... na Mafua yakiuma ni balaa homa hufumuka acha kabisa... kutoka Damu puani ni kweli ila sikudungua kama inasababishwa na Nyama na Maziwa japo Maziwa nilikuwa sipendi sana tokea utoto. Kuumwa Malaria kwa Mwaka naweza nisiumwe au nikaumwa mara moja au mbili tu... Kichwa huuma pale napopunguza kunywa Maji au kuchelewa kula.

Fungus Miguuni huwa natibu sana hadi zinapotea maana Miguu hutokwa na Jasho so kila siku ni kubadilisha soxy na soxy za cotton only
 
Damu kundi "O" limegawanyika katika makundi mawili ambayo ni "O" Negative(Hasi) na "O" Positive (Chanya).

Katika kundi hilo wenye kundi Chanya wana Tabia nyingi sana amabzo weyewe hawajijui kama tabia hizo ni asili ya damu kudi hilo.

1.WENGI NI WAPENDA NGONO

Asilimia kubwa ya watu wenye kundi hili la damu wanapenda sana ngono kuliko kitu kingine,haswa wanaume wenye damu kundi hili wanapenda wanawake wenye makalio makubwa, wao hawaangalii sura,ili mwanamke amaye amejazia nyuma ndio wanavutiwa zaidi.

Kwa wanawake wenye damu kundi hili pia nao wanapenda sana mchezo huu,wana mvuto wa kupendwa nna wanaume.

2.NI WASEMAJI SANA

Asilimia kubwa ya watu wenye damu kundi hili wanapenda sana kusema(ni wachangamfu) haswa katika jamii ya watu.

3.NI WATOAJI WAZURI

Wengi wa watu wenye kundi hili wana moyo wa kutoa kuliko kupokea,huwa hawapendi wenzao wapate shida ila wengi wana asili ya kuutangaza msaada wao ukiwaudhi.

4.MARADHI.

Maradhi makubwa yanayowasumbua ni malaria,kichwa kuuma upande mmoja(kipanda uso),mafua au kutoka damu za pua haswa wanapokula nyama,maziwa.

5.NGIRI
Kwa wanaume wenye damu kundi hili asilimia kubwa wana maradhi ya tumbo kujaa gesi haswa wanapokula baadhi ya vyakula haswa chipsi.

6.WANAFANANA NA WATOTO WAO
Wengi wakizaa huwa wanafanana sana na watoto wao iwe sura,tabia au mwendo na mara nyingi katika maisha yao huishi au kuzaa na mpenzi zaidi ya mmoja.

ALAMA ZAO
Alama kubwa za watu wenye damu kundi hili ni kuwasha na masikio kwa ndani,fangasi za vidole vya miguu kwa wanaume na kwa wanawake vidole vya mikono haswa wakifua,pua kuwasha kwa ndani.

Na Mwangaza Blog
Umegusa mulemule mkuu nimejikuta sana.

Sent from My Android Device
 
Hili kama lina ukweli 80%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi Mimi ni group O+ sijajua kwa magonjwa hayo mengine ila Mimi kuumwa Mara ya mwisho mfano marelia ni toka 1996 sijawahi ugua ugonjwa wowote ule namshukuru Mungu kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, hii kitu imenigusa kwani mimi pia ni O+ kusema ukweli toka mtoto hadi leo nimeugua malaria mwaka 2002 ndo nakumbuka.. na baada ya hapo wala... ni mafua tu yanasumbua. Thank God
 
Back
Top Bottom