Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,194
- 85,291
Ngoma imegonga mule mule.....Ha ha ha haaa ha ha haaa
LOh! Umeua Kwakweli
Yaaani Sema Sasa Mimi Nimeoa Unajua Mke Wangu Mrefu Mweupe Afu Mimi Mweusi
Yaani amejaazia na Kajigawa Kisawasawa yaani Mpaka Nikitembea Naye Najikuta Ninazo Hata Kama Sina
Tunawatoto Watatu lakini Naona Bado Kama Ndio kwaaanza Nimemtoa Ukweni Leo Asubuhi Tyuu
sasa Nawaza Ninunue Hata kapaso Kamoja Kwakweli Ili Niwe Namficha Maana Nikaamua Kujiajili Maana kazi Ya Kuajiriwa Nilikuwa nasafiri sana
Nikaona Isiwe Kesi Wacha Nijiajiri mwenyewe Nijilindie Vyangu
Yaani Umenikosha Japo samo fac naona Nikweli Na Zingine ni dondoo Tyuuu